Mtikila akamatwa na polisi kwa kumkashifu Rais


Mkewe sasa anamwomba Gaidi na Mhuni aunde tume kwa ajili ya kuchunguza kifo cha Mchungaji Christopher Mtikila...Hakika maajabu Tanzania hayataisha kamwe!!!.. Mimi nitampigia kura yangu ya thamani “EDWARD NGOYAI LOWASSA” pamoja na “Diwani na “Mbunge” wa UKAWA!!..Kwa maisha bora ya kwako na ya Kizazi chako Ondoa CCM,kwani imeishiwa pumzi na imeshindwa kutatua matatizo ya Ujinga,maradhi,Umaskini na Ufisadi.(CCM ni jumba la MAFISADI) !!!! “ALUTA Continua, Victoria Ascerta”.... “The Struggle Continues, Victory is Certain”; ...Mapambano yanaendelea, Ushindi unakuja!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…