Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Kwa kwel sipend watu wa namna hii...sjui mnajifunza kufikir ..thread haielewek kabisaaa... plz graduate kwanza katika namna ya kupost bila kusaidiwa na aina yoyote ya kilevi. Asante
 
Ndo Manake Mkuu, Asili Yake Ndo Huko Na Ndomaana Anawatetea Sana Ndugu Zake Fdlr

Mbona naambiwa kuwa Wakwere matamshi yao yanashabihiana na wazigua wa Handeni? Sasa hebu mwaga ukweli wako kama JK ni mhutu zaidi nitakuona mnafiki.
 
Kwa kwel sipend watu wa namna hii...sjui mnajifunza kufikir ..thread haielewek kabisaaa... plz graduate kwanza katika namna ya kupost bila kusaidiwa na aina yoyote ya kilevi. Asante

Au Imekugusa Mkuu, Pole Sana Ila Huo Ndo Ukweli.. Tuombe Tu Uzima Utakuja Nikumbuka Hapo Baadae
 
Protooooooh xhnm kabisa Wewe,viroba Kweli ninoma.
 

Hoja nyepesi mno tena isiyojitosheleza kiutafiti!! Sekta nyeti zilizokamatwa na Watusi ni zipi? Taja walau baadhi na hao waliozikamata ku-support hoja yako!! Kwa hiyo unadhani wao(Watutsi) ndio wenye mipango pekee yao na Tanzania imelala tu ikisubiri kutawaliwa?
 
Mbona naambiwa kuwa Wakwere matamshi yao yanashabihiana na wazigua wa Handeni? Sasa hebu mwaga ukweli wako kama JK ni mhutu zaidi nitakuona mnafiki.

Matamshi Ni Kitu Kidogo Sana, Inasemekana Wazazi/wazee Wake Walichukuliwa Kama Watumwa Kutoka Buyenzi Lakini Waliachwa Bmoyo Baada Ya Kuonekana Ni Wadhaifu Kiafya
 
Watutsi Mkuu, Na Mpango Huo Umesukwa Miaka Mingi Sana, Iko Kwenye Hatua Ya Mwisho Sasa, Je Watz Sisi Tumejiandaaje??

Tuwekee hapa hiyo plan yao ya muda mrefu ili tujiandae. Rwanda ni kanchi kalikochanganyikiwa (confused state), haina uwezo wa kupanga wala kufanikisha hizo ndoto za alinacha. By the way wewe umejiandaaje baada ya kuujua huo mpango wa Rwanda (watutsi)?
 

Mkuu Mimi Ningependa Hata Urais Wachukue Kabisa, Napenda Wanavyochapa Kazi, Si Unamuona Kagame
 
Matamshi Ni Kitu Kidogo Sana, Inasemekana Wazazi/wazee Wake Walichukuliwa Kama Watumwa Kutoka Buyenzi Lakini Waliachwa Bmoyo Baada Ya Kuonekana Ni Wadhaifu Kiafya

Mwacheni ------ ni Mtanzania haijalishi babu zake walitoka wapi, mbona wahindi, Wasomali na Waarabu hamuwasemi mnakalia kusema watu ambao hawana koneksheni tena na asili yao?
 

Mkoa wa kigoma umepakama na birundi na sio rwanda.
 
Mkuu Mimi Ningependa Hata Urais Wachukue Kabisa, Napenda Wanavyochapa Kazi, Si Unamuona Kagame

Wachukue tu!!! Mtukane Kagame ukiwa Rwanda kama mnavyomkejeli JK Mrisho muone kama mtadumu Duniani!
 
afrika mashariki wote ni kitu kimoja acheni maneno ya uongo ya kuchonganisha.karibuni wanyarwanda etc
 

una bahati nzuri kwa sababu sijapata tusi likufaalo
 
Mtikila ni mwanasiasa na mwanaharakati wa kweli, tatizo yupo ofisi mbovu tu (chama chake)

Tukipata watu watatu tu walio kama Mtikila bila shaka tutashinda!

Kweli kabisa, Mtikila pekee ndiye namwona mwana mapinduzi wa kweli na mpinzani halisi. Ila ukweli ni kwamba hawa wengine ni wasaka tonge tu kazi yao ni ''TOKENI MMEKAA SIKU NYINGI NA SISI TUNATAKA KULA'' Hawana uchungu wowote na nchi hii.
 
Mtikila,mimi sio mwana siasa,ni raia wa kawaida tu,Nyerere alikuwa mtutsi?.....unasema yeye ndio aliowaandaa Kagame na Museveni....na kama ni kweli aliwaandaa...kwa maslahi ya nani haswa?...unanifanya nifikiri na kuamini mwl.Nyerere alikuwa ni mnafiki unaposema,alikataa kukaa meza moja na muuaji Amin jumuiya ikafa ilihali yeye mwenyewe alikuwa anaandaa vijana watakaokuja kuifanya kazi ya mauaji ambayo kAGAME NA MUSEVENI wanaifanya sasa,ni ukweli usiopigika,watutsi wengi walikufa sana kwenye genocide,lakini pia kuna wahutu ambao walikuja kuuwawa na RPF baada ya kuingia Rwanda,wewe mwenyewe umeshakiri kupokea ujumbe wa watu ambao ni maadui wa Kagame nyumban kwako Mikocheni,hili liko wazi!..ina maana wewe pia unasimamia mauaji kwa kuwasupport wahutu kwa namna mojaa au nyingine na sio mapatano na amani...hapa sio kwamba najaribu kupangua hoja zako,najiuliza na kuwazua tu,shida ya Tanzania ina ardhi kuuubwa sana,unapotokea Nyakanazi kuja Kigoma Kuna rough road ya km zaid ya 800,na kote ni mapori na misitu maikali,kumbuka,mipaka ya rwanda na burundi haipo mbali saana na hii misitu,na jamii ya kinyankole kama ilivyo wanyambo na wanyarwanda wanatenganishwa na mipaka tu lakini kiuhalisia ni jamii moja na lugha wazungumzazo zinafanana,kama ilivyo kwa wamasai upande wa kenya na tanzania,au wakamba na warombo upande wa tarakea,nadhani sisi kama watanzania tushughulikie mambo yetu ya ndani katika kuleta maendeleo kwa wananchi,kujilinda,mipaka na wananchi na kutengneza maisha bora kwa kila mtanzania,hizi siasa na chokochok za kimakundi zitatupelka pabaya sana.
 
nasikia wanajua sana kuhonga ng'ombe hao jamaa, na wakikushika masikio wanatawala kijiji kizima. maofisini ndio usiseme. ndio maana siipendi east africa community, kwasababu ya hawa jamaa wa central africa kujiingiza kwenye east africa community.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…