Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Hatar
 
Laiti Mtikila angekua hai leo hii angetofautiana na JP hata kama alimfanyia promo kipindi cha uchaguzi
 
nimesoma nimejiskia kuishiwa na nguvu nadiriki kuumia sana
 
si kwamba mtikila anajua vingi kuliko vyombo husika. sema mtikila anaongea vingi kuliko vyombo husika......

inshu km hizi kwa weledi wa kazi husika huwa hazifanywi km utangazo... usalama wa nchi sio wa kupigiwa P.A. km matangazo ya Fiesta...

now una umri mkubwa tu unaishi unakula na haujawah sikia hata mlio wa bomu la moto... kwa kuwa huoni vita ubadhan vyombo havina kazi..

hivi sie hatuna madini.. gesi na mali zingine ambazo zinaweza leta vita nchini hata ya wenyewe kwa wenyewe...??? kwa nin haipo.

any way... jifunze kutofautisha jukumu la mwanasiasa na mtendaji wa jambo husika... mtikila asikurushe akili hawezi jua jambo kuliko waliokabidhiwa jukumu ila yeye anaweza akajua kulitangaza ila sio kulifanya....
 
Hili shirikisho ni la kinafiki tuu.. halina maslahi kwa watz.. life lizikwe kila m1 afufuke kivyake
 
Huyu mchungaji angekuwepo msimu wa.awamu ya tano

Sijui
Angekuwa segerea au.keko

R.I.p nilikuwa namwelewa.sana sema watz tunamahaba.na CCM.na CDM
 
People need to read african histroy vizuri...

Historia inasema watusi ni wafugaji.. na kwa nature ya wafugaji hua ni watu wakuhamahama so wengi kwa nature wameishi hayo maeneo ya mipakani kuliangana na muingiliano pia uliokuwepo baina tz na nchi jirani..
Mtikila anavosema eti amepenyeza anamaanisha nni?

Watusi waliopo maeneo ya ngara karagwe, rukwa na kigoma sio wote ni wakuletwa na kagame wapo waliokuwepo tangu zaman hizo na wamezaliwa na wana haki zote..
Hayo mengine ni propaganda zA kijinga.. wafrika wamekua watu wa kumove miaka na miaka...

Somen history vzuri

Mf hivi leo utamuhukumu mngoni kisa alitoka S.A? What abt kule newala, nanyumbu ambako muimgiliano ni wa wazi btn makonde wa mozambique na tz? Je mara? Kule panyakoo ujaluoni huwez jua mtz ni nani wala mkenya!!

Kule west africa kuna kabila mandinka mnawajua? Je mnajua walianzia wapi? Wale walianzia mali empire ya enz hizo na wametapakaa nchi zaidi za gambia, guinea, mali, senegal, liberia,sieralione, mauritania, guinea bisau, barkinabe na ivory coast kule west na lugha yao ni maarfu.. je tutawajudge kwa asili yao hyo?

Achen zetu na hating sa ajabu!! Mifaano ni mingi makabila yote ya mikoa ya mipakani ina mahusiano makubwa saana na nchi jirani zinazozunguka mikoa hyo!!

Hii ni mipaka ya mkutano wa berlin.. je b4 ilikuaje? Jib. Movement was free hakukua na tz wala kenya wala ug etc etc

Mnao comment chuki someni histori vizuri
 
Soma thread ya mwanzo kabiiisa uieleww kinachoongelewa...... usiona raha kupost unachokiwaza bila kuangalia nin topic inaaanza....

Swala ni uwepo wa nyarwanda kwenye taasisi nyeti na kubwa nchini..

Na sio uwepo wa wanyarwanda mipakani au sehemu nyingine wakifanya shughuli zao... kuwa muelewa kidogo... ilo la kuwepo hao wafugaji wakimbizi n.k linafahamika saaana.....ila kinachozungumziwa ni kupewa nyazifa
 
Hii nchi soon itakuwa ikiendeshwa toka kigali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…