Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba



Kwenda zako you white helicopter, tin foil cap conspiracy theorist. Nyinyi ndiyo interahamwe haswa.
 
kama wanaona comment yako nadhani watafanyia kazi, raia wa kigeni na mapindikizi haya ni hatari kwa usalama wa taifa
 
Read the entire stuff. It's full of personal sentiments and speculations. Nothing material or significant. Credibility (1%-9%).
 
,,,bahima empire wamefanikiwa sana hasa maziwa makuu,kwa mfano asili ya RPF ya rwanda ni uganda ambako kamanda mkuu wa RPF na naibu wake walitokea jeshi la museveni uganda,baada ya kumsimika museveni uganda wakaingia RWANDA ambapo kamanda wao mkuu aliuwawa mapema na nafasi yake kutwaliwa na kagame aliyekuwa naibu wa RPF,baada ya kuitwaa RWANDA haoo wakaingia DRC wakati huo zaire ya mobutu wakiitwa banyamulenge,walipompindua mobutu wakaingiza watu wao katika serekali ya kabila,mfano waziri wa mambo ya kigeni wa DRC aliyeitwa BIZIMA KARAHA ambaye alikuja gundulika kuwa ni mtusi na jina lake halisi ni BIZIMANA KARAHAMUHETO,,,,,
 
huwa nacheka sana nikisikia "usalama wa taifa" hawa ni mabashite tu wamewekana kwa misingi ya upendeleo wa vyama, kabila na dini ama mfanano wa hivyo.

kutegemea wataleta jipya kwenye uchunguzi ama ufatiliaji wa hao tutsi (na mambo ya maana ) ni kupoteza muda tu.
 
Huku kunduchi, tegeta na pembezoni mwa dar wamejazana warundi na ukiwauliza wanakuambia wao ni waha!
Hili halihitaji nguvu kuligundua. Wanyasa nao wapo katikati ya dar hasa masaki na msasani na hata mikocheni na mbezi beach.
Hivi hawa uhamiaji na polisi wetu wamesahau yale ya wasomali kule kenya? Au mpaka litokee tukio ndio waanze kuhangaika?
Kukinga ni bora kuliko kuponya!
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja, chunguza wauza kahawa wengi wanajiita waha, sio kabisa hata lafudhi inaonyesha, time will tell.
 
Wanao jiita Waha Wengi wao no Wahutu, na wengi wao walikua wakimbizi hivyo awakuta kurudi Burundi baada ya Vita.......
 
ni sahihi kabisa mkuu wangu
 
mkuu impongo kwaio tumekubali kuwa chini ya awa jamaa. sovereignty yetu iko wapi mkuu dola la Tanzania ni kubwa kuliko hawa jamaa

Jibu lako jepesi sana, unazungumzia ukubwa wa eneo kwa maana ya jiographia ama nini. Israel ni nchi ndogo lakini ona inavyowapa shughuli majirani zake wa kiarabu. Tafakari hii mada sio ya majibu hayo.
 
Kwahiyo unataka kusema watu wa kanda ya ziwa wasipewe nafasi serikalini kisa hiyo 'Tutsi Empire"?
Huyu jamaa hajielewi....anachofanya ni kupandikiza chuki tu ionekane watu wa kanda ya ziwa hawafai yani katafuta namna kachomeka na wasukuma ili lengo lake litimie....eti Tutsi empire...mambo ya zama zile za Before Christ anayaleta leo....

Hizi akili za kitoto kabisa....kwani watutsi hawafai kuolewa na watabzania?. Kwa taarifa yako adui yetu watanzania sio mtutsi bali ni watanzania wenyewe. Najua lengo la uzi huu ni mwisho wa siku kumhusisha Rais wetu....ila kama style ya uongozi wa tutsi ni sawa na ya Magufuli basi na waje watuongoze kuanzia kitongoji maana ni watu wa kazi.

Halafu hili suala la kuwahusisha watu wa kanda ya ziwa na kutaka kuwafanya sio watanzania halisi kwani mtanzania halisi ni nani hasa? Asiyezaliwa Kigoma? Kagera? Mwanza? Geita? Shinyanga? au ni yule aliyezaliwa Mtwara? Arusha? Kilimamjaro? Mara? Songwe? Mbeya?.

Mtanzania halisi ni yupi hasa? Aliye na pua ndefu au fupi? Mrefu au mfupi? Mweupe au mweusi? Mwenye akili nyingi au mjinga? Muungwana au asiyemuungwana? Mpole au mkorofi? Mla rushwa/fisadi au mzalendo? Mvujisha siri za nchi au msiri? Anayeunga mkono acacia au juhudi za serikali kudai kunufaika na rasilimali za nchi?

Bado nauliza mtanzania halisi na asiyehalisi ni yupi? Yule aliyezaliwa katikati ya nchi kama Singida na Dodoma?

Haya mambo ya ubaguzi sijui watutsi wanajiita wahaya au wahaya ni ubaguzi wa hali ya juu sana....ni kutaka kufanya segment flani ya jamii ionekane haifai.....yaani ni "character assasination"

Nimalizie kwa kusema adui wa taifa letu ni mtu yoyote yule anaweza akawa wa ndani au nje....aidha watu wenye asili ya kitutsi kuwepo nchini sio dhambi kwani nchi yetu inaomuingiliano na nchi jirani kwa miongo na karne nyingi so huwezi leo kuondoa hilo. Wamasai wapo Tanzania na pia wapo Kenya..n.k

Jambo kubwa ni kama nchi kuweka kipaumbele katika vitambulisho vya taifa na kuhakikisha hio process inafanyika kwa umakini mkubwa.
 
Uzi huu hauna maana yoyote kwa karne hii
Urimwengu wa sasa unaweza kumtawala mwanadam popote ulipo duniani Muhimu ni kitu gani unahitaji kutoka jamii unayohitaji kutawala
Mfano mfalme wa JF anawatawala vilivyo wafasi wake
Mfalme wa FB mfalme wa Google mfalme wa ATM hawa ni aina mpya ya watawala hapa ulimwenguni-
Utawala wa aina iliotajwa ktk Uzi huu ni utawala wa kimamlaka ambao hauna madhara yoyote kwa mwadam wa kizazi hiki-
Kutawaliwa na msukuma, muha, muhaya, na mkwere hizi ni enzi ambazo tunaelekea kuzipeleka kuzimu ndio maana Barack Obama na asili yake ya Kenya aliwatawala wamarekani nao hawakujali sababu walifaham aina ya utawala waliohitaji Leo Trump ni MJERUMAN na anaitawala Amerika hakuna kelele pia ndani ya bunge la American kuna wabunge wengi kutoka mataifa mbalimbali kama bint kutoka Somalia yupo ndani ya Bunge la seneti
Waafrika tunahitaji kiongozi atakae Linda maslahi ya Taifa sio maslahi ya familia yake na rafiki zake
Aina ya viongozi kama kina Kwame Nkrumah, kina Odinga Odinga, hatuhitaji kabila lake ili atutawale haijarishi hata kama ana rangi ya Kijani sisi kama atarinda maslahi yetu na kizazi chetu huyo ni kiongozi bora kwetu.
 
Well said....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…