Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Lisemwalo lipo kama halipo laja, chunguza wauza kahawa wengi wanajiita waha, sio kabisa hata lafudhi inaonyesha, time will tell.

Mambo mengine bwana!! Hivi unaweza kutofautisha lafudhi ya Kiha na Kirundi? mmesahau kwamba wakati wa utawala la Kijerumani Rwanda na Burundi zilikuwa ni part ya Tanganyika, kumbuka kabla ya Wazungu kuigawa Afrika virakaviraka hapa kuwepo mipaka,watu walikuwa wanatembeleana bila ya kikwazo chochote, Mkoa wa Kagera kwa mfano wenyeji wa huko wana ndugu na jamaa huko Rwanda, Uganda mpaka Burundi chunguza majina ya Rwanda na Uganda utayakuta yapo Mkoani Kagera vile vile, tukienda Kusini mwa Tanzania mambo ni yale yale - mfano Chief wa Kabila linalo patikana Mkoa wa Mbeya pale Tunduma ndilo Kabila hilo hilo upande wa Nakonde Zambia na Chief wao yupo upande wa Tanzania.
 
 
Ha
Hapa ndipo pa kuanzia Sasa
 
kagame ni hatari sana anataka aedhi yetu maana sheria za umiliki ardhi hasa vijijini ni mbovu sana na kwenye uraia tumegeza sana kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…