Sawa baba mhutu Mtikila tumekusikia!
Mimi binafsi nimeipenda sana hiyo himaya ya ki Tutsi kama kweli ipo, Ni bora zaidi ya hii himaya ya uamsho inayohubiriwa na radio imani.
Himaya ya ki Tutsi ni ya kiafrika, yenye hadhi na maadili ya kiafrika, lakini hii ya uamusho ni ngeni, inafadhiliwa na wale wale waliotukamata wakatufunga minyororo na kutupeleka utumwani huku wakiwabaka mama na dada zetu, baba na kaka zetu wakihasiwa, eti leo wamegeuka wamekuwa watu wema, wanasema sisi na wao ni ndugu damu damu tena ni ndugu bora zaidi ya wamatumbi wenzetu wa Ruvu darajani!!!???? Hiyo haikubaliki, Miafrika lazima tuamke, tupende na kuthamini vitu vyetu wenyewe, tuwe na uzalendo wa kiafrika tulinde raslimali zetu kwa manufaa yetu na vizazi vyetu, vinginevyo Tanzanite itachimbwa Arusha lakini Mtengenezaji na muuzaji mkubwa yuko India.
Kagame is an African hero, ukimpa nchi kama Tanzania yenye raslimali lukuki aiongoze kwa miezi 6 tu, itaitoa kwenye kundi la nchi maskini mno duniani hadi kundi la kati, Mseveni na huyu Kagame ni wana wa Afrika wana uchungu na Afrika, wanajua ni mwafrika na siyo muasia mwenye hakimilki ya raslimali zetu. Long live Tutsi Empire! Long live Mseveni! Long live Kagame!