Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Ndo hawa Naibu Waziri Mkuu Biteko maana kasoma SAUTI na wengine wamejazana Mgodini Bulyanhulu kupitia Biteko wakati akiwa waziri wa Madini
 
Watu huwa wanapuuza weeh.

2015 mkampa mhutu, Mtikila akafariki 2015.

2024 CDF kaliongelea..

Unaweza kumuua mtu ila mawazo yake huwezi kuyaua yatabaki kuishi.

Na sasa je hakuna jawabu licha ya CDF kuongea tu hivi karibuni?
Mimi Samia mwenyewe simuamini yawezekana naye yupo kwenye mfumo wa kufanikisha hilo...mfano unamteuaje Biteko kuwa Naibu waziri mkuu,mimi nafanya kazi mkoa wa geita,watusi wanaumoja wa hatari sana wakishirikiana na Biteko na Mfanyabiashara anaitwa Inyasi,wamejazana mgodini Bulyanhulu,na wanakuwa na vikao vyao vya siri
 
Humu kuna kiongozi mmoja wa jeshi wa Rwanda , siku kaonekana kwenye habari moja humu.

Kuna mdau alisema huyo jamaa anamjua sana na alikuwa akienda Kahama kama mnunuzi kwa bei ya jumla zao la karanga na alijitambulisha kwa jina tofauti hivyo yule mdau alipigwa na butwaa nitausaka ule uzi nione kama bado upo.
 
Huyu jamaa ni kama mnamvimvisha kichwa, anaijua vizuri Tanzania.
Kwamba auchukue Mkoa wa Kagera? Hawezi.
Siku zote adui huwa anatafuta mahali palipo na udhaifu anapitia hapo hapo kukushinda. Jambo la msingi ni kuwa makini naye hasa ukishamjua.

Sasa hivi ni nini kinaendelea Mashariki mwa Congo?

Jeshi la Congo na Rais wao hata hawajielewi wafanye nini kukomboa nchi yao,miji inachukuliwa tu.Kwa Tanzania kama tupo imara kama usemavyo, na iwe heri siku zote.
 
MAKONGO NI MASHENZI MAPUMBAFU SANA.


RWANDA INAINGIA MALA 90 YA UKUBWA WA KONGO LAKINI YALIVYOKUWA MAPUMBAVU YANAPIGALWA NA KUCHAKAZWA NA KA RWANDA.


LILILOMUUA MTIKILA NI HILI ANDIKO.
 
MAKONGO NI MASHENZI MAPUMBAFU SANA.


RWANDA INAINGIA MALA 90 YA UKUBWA WA KONGO LAKINI YALIVYOKUWA MAPUMBAVU YANAPIGALWA NA KUCHAKAZWA NA KA RWANDA.


LILILOMUUA MTIKILA NI HILI ANDIKO.
Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana kutwa kucha ni kuimba,kukata viuno na kupaka mikorogo.

Kuna mmoja wamemuua majuzi wamemkuta studio akirecord nyimbo, japo alikuwa anaimba nyimbo za kuishutumu M23 na Serikali yao. Naweza kumpa hongera alijaribu kupaza sauti.

Ila wananchi wengi hawana uchungu na nchi yao kabisa,ndio mana wanapenda kuishi Ulaya na Marekani.
 
Umeandika ngonjera nyingi ila wewe huna jeshi la kumpiga kagame Sasa hivi
 
Unajidanganya sana na wabeba matofali usijaribu kugombana na Rwanda utaaibika vibaya sana na Jao wabeba matofali wako kagame Sasa hivi hamumuwezi
 
Unajidanganya sana na wabeba matofali usijaribu kugombana na Rwanda utaaibika vibaya sana na Jao wabeba matofali wako kagame Sasa hivi hamumuwezi
Akili zenu huwa ni za kidwanzi sana kutwa kucha kujitutumua tu kwa maneno kama wanawake wanaosutana.

Sasa kwa kuwa mnajiona mna jeshi kubwa ndio mpange kutuvamia kwa tamaa ya kujitanua?

Mmebaguana kwa mambo ya kipumbavu eti kisa huyu ana pua ndefu anapaswa kutawala, na yule ana pua fupi anatakiwa kutawaliwa, huyu mfupi siyo mwenzetu na huyu ni mrefu apewe cheo. Ujinga wa kubaguana ndio mnatamba nao hadi mnatemeana mate.Nyinyi ni washenzi wa tabia na hamfai kuishi kwenye ulimwengu wa watu waliostaarabika.

Watanzania ni wapole hata tukichukua eneo la nchi yao hawana cha kutufanya, siye ndio wababe East Africa,the Jews of East Africa. Really seriously??

Mkilianzisha kwa huo upumbavu wenu siye tutafunga mipaka,mnyukane mpaka mlane nyama za miili yenu,hatutaki makazi holela kwenye nchi yetu.Tumechoka kuhifadhi vimtu vinavyoharibu nchi zao kwa tamaa za chuki za kikabila na tamaa za madaraka.

Nimeona nikujibu ili umpelekee huyo bwana wako huu ujumbe.

"Nenda kamwambie hivi mkakati wa kuivamia Tanzania uko kwenye file la rangi ya khaki yenye kamba ndogo,na hiyo Operation inaanzia na herufi M123,,,,,....."

Tunajua anachokipanga.

Lakini nawaonyeni msije mkadhani ni rahisi sana kama mnavyofikiri, siku zote anayeanzisha ugomvi huwa anaonekana mbaya,ila anayelipiza kisasi ndiye huwa mbaya zaidi.

Unakumbuka mwaka 1996 mlivyojidanganya mnaenda kwa ndugu zenu Somalia, mlitokea BENACO kama siyo RUSUMO kwa miguu mkakamatiwa Burigi Game Reserve (sasa hivi ni Burigi National Park)eneo la Kasindaga, mkarudishwa kwa miguu na mijeledi juu?

Unakumbuka mama zenu walivyokuwa wanajifungulia njiani kisha wanaambiwa nyanyuka beba mtoto wako tembea, vipigo,vifo, mvua, jua na baridi vilikuwa ni sehemu ya maisha yenu?

Mnakumbuka mlivyofika Njiapanda ya Lusahunga na Biharamulo mjini mlivyochana chana hela za Kitanzania kwasababu ya hasira baada ya kujua mnarudishwa mlikotoka,maana mwanzo mlidanganywa kuwa mnapelekwa Somalia mkisindikizwa na JWTZ,? Tena mlikuwa mmletewa Makarandiga ya jeshi ila mkadeka kwa kukataa kuyapanda.

Wanajeshi wakasema ngoja tuwadekeze vizuri, mliokuwa mmeshapanda mkashushwa chini kisha mkaambiwa chapa lapa,tembea mpaka mlikotoka.

Mara hii mmesahau? Mlikuwa hampendi kabisa kuishi karibu na ule mto maana mnakumbuka ambavyo mlikuwa mnawachoma watu kama mishikaki halafu mnawarusha kwenye mto Kagera,ila nyinyi aisee ni kiboko,hiyo roho mlibarikiwa na shetani mweyewe, sisi Watanzania hatuna huo uthubutu.

Unajua kwanini mlitaka kuondoka Tanzania?

Mlifanya hivyo kwasababu ya kutotaka kwenda kuishi karibu na mipaka ya nchi yenu maana hamkuitamani kutokana na kile mlichofanyiana wenyewe kwa wenyewe kwenye kanchi kenu kadogooooo!!!!

Yaani tuliwapa hifadhi katika nchi yetu halafu mkajidanganya kwamba muondoke Tanzania kwasababu sisi hatufananii na nyinyi eti mnafanana na Wasomali kwahiyo heri mwende Somalia, tena kwa miguu, halafu mnajionaga mna akili sana,kwahiyo ukubwa wa akili zenu ni kubaguana, kwenda Somalia kwa miguu,hamkujua kama kuna nchi nyingine ya Kenya? Jeshi lenu kama ni kubwa ndio lifanye kazi ya kuwabagua raia wake?

Nakwambia hivi,hata sasa wapo baadhi ya Majenerali na Viongozi waandamizi waliochoshwa na haya mambo ambao wako kinyume na huyo mfalme wenu wa kunyonya damu za Wakongo kwa tamaa ya mali za jirani zake.Ni suala la muda tu.

Mna roho ngumu sana,hamna huruma kwa watoto wenu,mama zenu na wezee wenu.Hiyo ya 1994-1997 ,sasa hivi itakuwa cha mtoto.

Brigedia General Marco G,na Mkuu wa Kagera mama Fatuma Mwassa juzi wamesema mkoa na mipaka yake uko vizuri,salama na wako timamu hali ni shwari.

Unajua maana yake we 'NANGA?'

Nimekujibu,si kwasababu umeandika kitu cha maana la hasha,bali nimetaka ujumbe wangu uwafikie hapo makao makuu yenu.File tunalijua.

"Jishebedueni kama mgema ili tembo alitie maji."

Endeleeni.Kupanga ni kuchagua, hamisheni hata jiwe moja,rusheni hata tufe moja lilete madhara kwa wananchi ili tupate sababu.

Mkirusha msije mkasingizia waasi,mseme kabisa ni nyinyi, unakumbuka lile la mwaka 2018 au 2019 lililoonekana halina madhara likaachwa liangukie majini kwenye Ziwa Victoria? Mnadhani halikuonekana kwenye king'amuzi?

Mnapenda uchokozi na ugomvi wakati hamuuwezi. Waooneeni huruma watu wenu.

The Magnificent 7seven.
25.02.2025.
16:17 PM.
 
Mtikila alikuwa Gwiji wa sheria.
Alikuwa Afisa kipenyo alie iva Tiss.

Huu walaka Uliandaliwa na Idara ya usalama wa Taifa Tiss.
Mtikila alibebeshwa kama chambo na alikunja hela Ndefu.

Walaka Ulipita kwenye kila Media kila Gazeti kila Radio nk
Bifu kali la Jk na Pk ndio likapamba moto

Wanyarwanda Tutsi (wahamiaji Haramu) walitafutwa kila kona ya Nchi na kurudishwa makwao.

Jk alishinda VITA.
ILA ALISHINDWA KUMLINDA MTIKILA.
 
Rwanda anataka ajitanue ila karata ya Tz ni ngumu sana kuiwin asee tena ni ngumu mno itamgharim pakubwa
 
Alale perma peponi mwamba nimemkumbuka mbali sana alianzisha Kanisa la full salvation church pale shule ya buguruni enzi hizo akamvuta mamamdogo na wengine tukaanza kutoa sadaka zetu loh

Hivi mkewe mama Georgia yupo pande zipi??
 
ndugu, wala usipoteze muda na watusi, kwanza ni wachache sana, na hawazaliani kwa wingi kama makabila mengine. 1994 walikuwa 14% ya Rwanda, wakati huo wanyarwanda wote walikuwa kama 7m populatioin, wakauawa kama 800,000 hadi 1m, meaning walibaki wachache sana pale rwanda. hao unaowaona wengi walihamia baada ya kimbari, walitoka mataifa mbalimbali walikokuwa wamekimbilia. walitoka Tanzania (ndio maana wapo wengi kule wamesoma hapa hadi chuo), uganda wengi sana, congo, burundi, kenya wengi sana na mataifa mbalimbali. so they still make a very small percentage kule rwanda. hata wakikubagua, wadharau tu na uendelee na maisha yako kwa sababu kwa jinsi wahutu walivyo wengi, muda si mrefu kuna siku watatawala wao na hakuna mtusi atakuja kutawala tena, hapo ndipo utaouona uchache wao.
 
Baada ya waraka huu

Mchungaji Mtikila alifariki alfajiri ya Jumapili 4 Oktoba 2015 kwa ajali ya gari kwenye kijiji cha Msolwa karibu na Chalinze. Tairi zilichomoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…