Wa Ndima JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 1,526 Reaction score 323 Nov 10, 2010 #21 Mi nasema, asinifuate Kiongozi wa dini anambie eti niongoke, nawaambia wawaongoe kwanza viongozi wa CCM kisha mi ndo nitafuata. SheE%^$zi kabisa
Mi nasema, asinifuate Kiongozi wa dini anambie eti niongoke, nawaambia wawaongoe kwanza viongozi wa CCM kisha mi ndo nitafuata. SheE%^$zi kabisa
Gsana JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 4,383 Reaction score 1,337 Nov 10, 2010 #22 Mh.mchungaji tunakusubiri uanze zile siasa za mahakamani. Safari hii unawezajizolea umaarufu wa ajabu duniani.
Mh.mchungaji tunakusubiri uanze zile siasa za mahakamani. Safari hii unawezajizolea umaarufu wa ajabu duniani.