Bado hata cwt itatamba miaka kadhaa maana hata idadi ya wanachama ni wengi. Hiki kimeanzishwa kipindi ambacho ajira za walimu zimepungua kwa kasi. Hiki kupata wanachama elfu thelasini tu itakua ishu wakati kipind kilichopita cwt alikua anapata idad kama hiyo kila mwaka.mmechelewa sana cwt ilipofikia ni chama kikubwa sana miradi na benki pamoja umoja uliojengwa siku nyingi itakuwa kazi kuuvunja
Je kile cha nyanda za juu kusini kimefia wap?
Sasa michango yenu ule cwt mtaipataje?Mods hii sio tetesi,mimi mwenyewe nimeshajiunga tayr nichama kizuri kinaonyesha huenda kikatanguliza maslahi ya Mwl mbele
Kwani wanaoanzisha si ndo hao waalimu? au wajanja wajanja? ufafanuzi tafadhalimmegeuza walimu kama kitega uchumi
Karibu ndani ya Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Waalimu Tanzania (CHAKAMWATA). Hiki ni chama mmbadala wa CWT, nk.
Ukijiunga na chama hiki utapata faida kadhaa ambazo huwezi kuzipata ukiwa CWT. Baadhi ya faida hizo ni:
Mosi; utakatwa 1% tu ya mshahara wako tofauti na CWT wanaokata 2% ya mshahara wako. Hivyo haya ni maajabu pekee yanayotokea huko CWT dhidi ya "haki" inayopatikana CHAKAMWATA.
Pili; ukistaafu kazi, ukisimamishwa kazi au kifo-kwa mwanachama, utarejeshewa nusu ya mchango uliochangia ndani ya chama, tofauti na maajabu yanayofanywa CWT.
KARIBU
Mbona katika maelezo yote haya sijaona ni namna gani kitatetea maslahi ya walimu. Naona kinajitambulisha kwa mikakati ya jinsi ya kupata pesa tu.Karibu ndani ya Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Waalimu Tanzania (CHAKAMWATA). Hiki ni chama mmbadala wa CWT, nk.