Tetesi: Mtikisiko: Chama kipya cha Kutetea Haki na Maslahi ya Waalimu Tanzania chaanzishwa

Tetesi: Mtikisiko: Chama kipya cha Kutetea Haki na Maslahi ya Waalimu Tanzania chaanzishwa

Bado hata cwt itatamba miaka kadhaa maana hata idadi ya wanachama ni wengi. Hiki kimeanzishwa kipindi ambacho ajira za walimu zimepungua kwa kasi. Hiki kupata wanachama elfu thelasini tu itakua ishu wakati kipind kilichopita cwt alikua anapata idad kama hiyo kila mwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa kasema mpaka Sasa kina members 28000
 
Karibu ndani ya Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Waalimu Tanzania (CHAKAMWATA). Hiki ni chama mmbadala wa CWT, nk.
Ukijiunga na chama hiki utapata faida kadhaa ambazo huwezi kuzipata ukiwa CWT. Baadhi ya faida hizo ni:

Mosi; utakatwa 1% tu ya mshahara wako tofauti na CWT wanaokata 2% ya mshahara wako. Hivyo haya ni maajabu pekee yanayotokea huko CWT dhidi ya "haki" inayopatikana CHAKAMWATA.

Pili; ukistaafu kazi, ukisimamishwa kazi au kifo-kwa mwanachama, utarejeshewa nusu ya mchango uliochangia ndani ya chama, tofauti na maajabu yanayofanywa CWT.
KARIBU
kwa nini msipiganie makato yakashuka huko cwt?
kuanzisha chama ni kuzidisha mgawanyiko tu
 
Back
Top Bottom