Mtikisiko wa Fedha Benk ya Mwingira wa fukuzisha kazi Vigogo!!!!

Naona character assassination inaendelea.Watanzania huwa tunapenda kuwe na 'dini' mbili tu Catholic na Islam labda na Lutheran na Anglican, nyingine zote hazitakiwi...na zinaundiwa kila aina ya character assassination kwa viongozi wake.
Jamani mtu anaweza abudu popote
 
na acha nife ila mwingira sio mtumishi wa mungu nitakuwa wa mwisho kuja amini watumishi wa mungu wako vile na watu kama mwingira ndio wanamwaibisha mungu na yesu kristo ,anaiba sadaka live kufanya biashara zake,anakula wake za watu na kesi zipo mahakamani akiona eneo l muumini ni potentiol anamwambia amkati e yani kind of dhulmati ,kama yule ndio kiongozi wa hao watu wote naamini kuwa kuzimu itjaa sana kuliko mbinguni.na waumini wake ni waoga kweli kweli nidhamu ya uoga anasema matusi wanapiga makofi,kila anachosema hata kama kweli kinahitaji challenge hakuna anayesema ,yaani mchungaji ambaye hana elimu ya darasani kichwani hata kidogo kuanzia degree/masters sina muda wakumsikiliza failure anayefanya biashara kupirtia mwamvuli wa dini.wacha nife
MWINGIRA =KIBWETERE FULL STOP
Mkuu huwezi kufa angalia maneno haya katika simulizi za Mwingira akiwa na kahaba!!! Mtu anayepakatwa na kahaba hawezi kuwa mtumishi wa Mungu
 
ana biashara gani kama sio sadaka za hao w4jing4 wake hapo sema ana biashara /kazi gani /ana investiment gani kubwa sana iliyomuingizia hizo mihela ,sadaka za w4jlng4 wake

Yawezekana wewe ni mmoja wa wajinga otherwise kama hutoi sadaka,unajua sadaka zako zinatumikaje'
hivyo wewe ni mjinga pia wa huko unakotoa sadaka'
 
yawezekana wewe ni mmoja wa wajinga otherwise kama hutoi sadaka,unajua sadaka zako zinatumikaje'
hivyo wewe ni mjinga pia wa huko unakotoa sadaka'
sadaka yangu nikitoa namsaidia mwenye shida yatima na wanaohitaji msaada wangu kanisani sitoi ngo'sijawa mjinga namna hiyo!!
 
na acha nife ila mwingira sio mtumishi wa mungu nitakuwa wa mwisho kuja amini watumishi wa mungu wako vile na watu kama mwingira ndio wanamwaibisha mungu na yesu kristo ,anaiba sadaka live kufanya biashara zake,anakula wake za watu na kesi zipo mahakamani akiona eneo l muumini ni potentiol anamwambia amkati e yani kind of dhulmati ,kama yule ndio kiongozi wa hao watu wote naamini kuwa kuzimu itjaa sana kuliko mbinguni.na waumini wake ni waoga kweli kweli nidhamu ya uoga anasema matusi wanapiga makofi,kila anachosema hata kama kweli kinahitaji challenge hakuna anayesema ,yaani mchungaji ambaye hana elimu ya darasani kichwani hata kidogo kuanzia degree/masters sina muda wakumsikiliza failure anayefanya biashara kupirtia mwamvuli wa dini.wacha nife
MWINGIRA =KIBWETERE FULL STOP
Huwezi kufa Mwingira anatuhuma zipo high court : Angalia kiapo hiki: Amewambia waumini wasifuatilie huko kwa kuwa serikali ni washenzi;
Hata hivyo hii ni sehemu ya mgogoro uliojitokeza Mhakama kuu kanda ya DSM katika kesi namba 266/2010 iliyofunguliwa na Nabii Josephati Mwingira , mlalamikaji(Mwingira )anamulalamikia Eliya Hubert mbuya kuvunja mkataba wa kumupa sehemu ya kiwanja katika plot namba 548(a) eneo la Kawe Beach ambapo Mwingira amejenga nyumba ya thamani ya

Tshs 1,000,000,000 na kuishi humo.
Katika kesi hiyo Mbuya anatetewa na Wakili Michael Ngalo ambaye anajibu malalamiko ya Josephate Mwingira kama ifuatavyo:

‘That the plantiff's claim and assertion that he is a ‘holy spiritual leader, apostle and prophet' are matters whose varaciy and authenticity are only known to God and cannot be admitted or denied by the defendant but the defendant aver that the plantiff is a Founder and oversee of Efatha Ministry with a tittle of a Managinging director and also a trustee and chairman of its board of trustee of the Registered Trustee of Efatha ministry who in his personal capacity sexually assaulted and raped the Defendant's wife and defiled the defendant house on plot number 548 Kawe Beach Kinondoni DSM in despite of his claim for holiness as a spiritual leader .'

Wakili Michael Ngalo anaendelea katika Kipengele Cha nane kama ifuatavyo:
‘That in the meantime and then Unknown to the Defendant the Plantiff had sexually assaulted and raped the Defendant wife in the defendants house while the Defendant was at his place of work and managed to bribe the defendants wife into silence about the incident and later an adulterous association persited between the Plaintiff and the Defendants wile for a period of three years until God compelled the Defendant wife to make confession to the defendant about the adulterous association with the Plantiff".
Kwa ufupi Mbuya anamtuhumu Mwingira kuwa amekuwa ana mbaka mkewe aitwaye Bertha Evarist Mbuya kwa nyakati tofauti tangia mwaka 2003 hadi alipotubu mwenyewe mwaka 2009.
Maelezo yake yanaonyesha kuwa , Mbuya na Mkewe walijiunga na Kanisa la Efatha na kujitoa katika huduma hiyo kwa kuchangia michango mingi ikiwa ni pamoja na kutoa uwanja katika nyumba aliyojenga Mwingira.Mbuya anasema, mwaka 2009 mkewe( Bertha) alitubu kwake na kumwambia kuwa siku moja mwaka 2003 akiwa kazini ,yeye (mke) alizini na Nabii Josephati Mwingira ndani ya nyumba yao iliyopo karibu na nyumba ya Mwingira!!!
Bertha alimweleza Mbuya kuwa aliamua kutubu baada ya kupata ugonjwa mbaya uliomusumbua kwa muda wa miaka mitatu ambapo katika kumwomba Mungu alisikia sauti ikimwambia ili apone ni lazima atubu dhambi ya uzinzi kwa mumewe.
Baada ya kusikia hayo Mbuya na mkewe walikwenda kumukabili Nabii Josephati Mwingira na kumukuta yupo na Mkwewe (Elikunda Mwingira). Bertha aliweka wazi uzinzi aliofanya na Mwingira mbele ya kikao cha watu wane ambapo Mke wa Mwingira alikiri kusikia habari za uzinzi huo na Bertha alomba radhi kwa Elikunda (mke wa Mwingira) ambapo alimusamehe lakini Mwingira hakujibu chochote.

Hakuna mtu anayepinga hilo, tatizo ni kuona watanzania wenzetu wanapelekeshwa kama kondoo kuelekea machinjioni maskini huku wenyewe wakiwa hoi.

Who told u wanapelekeshwa? ulishakwenda kwenye hiyo benki ukayathibitisha hayo unayowaza kichwani kwako? watu kama mleta mada bado wana uchungu na kile kiwanja waislam walichotaka kudhulumu kwa nguvu,wakakuta Mwingira kisiki,wamebaki kumzushia huku JF'
 
kwel kabisa wabongo hawatak mwenzao afankiwe,akifany mzungu wanaona sawa.
Hata hivyo hii ni sehemu ya mgogoro uliojitokeza Mhakama kuu kanda ya DSM katika kesi namba 266/2010 iliyofunguliwa na Nabii Josephati Mwingira , mlalamikaji(Mwingira )anamulalamikia Eliya Hubert mbuya kuvunja mkataba wa kumupa sehemu ya kiwanja katika plot namba 548(a) eneo la Kawe Beach ambapo Mwingira amejenga nyumba ya thamani ya

Tshs 1,000,000,000 na kuishi humo.
Katika kesi hiyo Mbuya anatetewa na Wakili Michael Ngalo ambaye anajibu malalamiko ya Josephate Mwingira kama ifuatavyo:

‘That the plantiff's claim and assertion that he is a ‘holy spiritual leader, apostle and prophet' are matters whose varaciy and authenticity are only known to God and cannot be admitted or denied by the defendant but the defendant aver that the plantiff is a Founder and oversee of Efatha Ministry with a tittle of a Managinging director and also a trustee and chairman of its board of trustee of the Registered Trustee of Efatha ministry who in his personal capacity sexually assaulted and raped the Defendant's wife and defiled the defendant house on plot number 548 Kawe Beach Kinondoni DSM in despite of his claim for holiness as a spiritual leader .'

Wakili Michael Ngalo anaendelea katika Kipengele Cha nane kama ifuatavyo:
‘That in the meantime and then Unknown to the Defendant the Plantiff had sexually assaulted and raped the Defendant wife in the defendants house while the Defendant was at his place of work and managed to bribe the defendants wife into silence about the incident and later an adulterous association persited between the Plaintiff and the Defendants wile for a period of three years until God compelled the Defendant wife to make confession to the defendant about the adulterous association with the Plantiff".
Kwa ufupi Mbuya anamtuhumu Mwingira kuwa amekuwa ana mbaka mkewe aitwaye Bertha Evarist Mbuya kwa nyakati tofauti tangia mwaka 2003 hadi alipotubu mwenyewe mwaka 2009.
Maelezo yake yanaonyesha kuwa , Mbuya na Mkewe walijiunga na Kanisa la Efatha na kujitoa katika huduma hiyo kwa kuchangia michango mingi ikiwa ni pamoja na kutoa uwanja katika nyumba aliyojenga Mwingira.Mbuya anasema, mwaka 2009 mkewe( Bertha) alitubu kwake na kumwambia kuwa siku moja mwaka 2003 akiwa kazini ,yeye (mke) alizini na Nabii Josephati Mwingira ndani ya nyumba yao iliyopo karibu na nyumba ya Mwingira!!!
Bertha alimweleza Mbuya kuwa aliamua kutubu baada ya kupata ugonjwa mbaya uliomusumbua kwa muda wa miaka mitatu ambapo katika kumwomba Mungu alisikia sauti ikimwambia ili apone ni lazima atubu dhambi ya uzinzi kwa mumewe.
Baada ya kusikia hayo Mbuya na mkewe walikwenda kumukabili Nabii Josephati Mwingira na kumukuta yupo na Mkwewe (Elikunda Mwingira). Bertha aliweka wazi uzinzi aliofanya na Mwingira mbele ya kikao cha watu wane ambapo Mke wa Mwingira alikiri kusikia habari za uzinzi huo na Bertha alomba radhi kwa Elikunda (mke wa Mwingira) ambapo alimusamehe lakini Mwingira hakujibu chochote.
 
Kama ulikuwepo kuna siku nilikuwa namuuliza muumini mmoja kuhusu suala la kesi ya Mwingira la kuhusu mke wa Mbuya limefikia wapi. Alinishangaza kusema hata yeye hajalisikia na halujui, hata nilipojaribu kumuelewesha alinikata kaulikwa kusema "usimseme baba vibaya wenzio walishakufa".

Ama kweli another Kibwetere in action, tutaona mwisho wake.
Hata hivyo hii ni sehemu ya mgogoro uliojitokeza Mhakama kuu kanda ya DSM katika kesi namba 266/2010 iliyofunguliwa na Nabii Josephati Mwingira , mlalamikaji(Mwingira )anamulalamikia Eliya Hubert mbuya kuvunja mkataba wa kumupa sehemu ya kiwanja katika plot namba 548(a) eneo la Kawe Beach ambapo Mwingira amejenga nyumba ya thamani ya

Tshs 1,000,000,000 na kuishi humo.
Katika kesi hiyo Mbuya anatetewa na Wakili Michael Ngalo ambaye anajibu malalamiko ya Josephate Mwingira kama ifuatavyo:

‘That the plantiff's claim and assertion that he is a ‘holy spiritual leader, apostle and prophet' are matters whose varaciy and authenticity are only known to God and cannot be admitted or denied by the defendant but the defendant aver that the plantiff is a Founder and oversee of Efatha Ministry with a tittle of a Managinging director and also a trustee and chairman of its board of trustee of the Registered Trustee of Efatha ministry who in his personal capacity sexually assaulted and raped the Defendant's wife and defiled the defendant house on plot number 548 Kawe Beach Kinondoni DSM in despite of his claim for holiness as a spiritual leader .'

Wakili Michael Ngalo anaendelea katika Kipengele Cha nane kama ifuatavyo:
‘That in the meantime and then Unknown to the Defendant the Plantiff had sexually assaulted and raped the Defendant wife in the defendants house while the Defendant was at his place of work and managed to bribe the defendants wife into silence about the incident and later an adulterous association persited between the Plaintiff and the Defendants wile for a period of three years until God compelled the Defendant wife to make confession to the defendant about the adulterous association with the Plantiff".
Kwa ufupi Mbuya anamtuhumu Mwingira kuwa amekuwa ana mbaka mkewe aitwaye Bertha Evarist Mbuya kwa nyakati tofauti tangia mwaka 2003 hadi alipotubu mwenyewe mwaka 2009.
Maelezo yake yanaonyesha kuwa , Mbuya na Mkewe walijiunga na Kanisa la Efatha na kujitoa katika huduma hiyo kwa kuchangia michango mingi ikiwa ni pamoja na kutoa uwanja katika nyumba aliyojenga Mwingira.Mbuya anasema, mwaka 2009 mkewe( Bertha) alitubu kwake na kumwambia kuwa siku moja mwaka 2003 akiwa kazini ,yeye (mke) alizini na Nabii Josephati Mwingira ndani ya nyumba yao iliyopo karibu na nyumba ya Mwingira!!!
Bertha alimweleza Mbuya kuwa aliamua kutubu baada ya kupata ugonjwa mbaya uliomusumbua kwa muda wa miaka mitatu ambapo katika kumwomba Mungu alisikia sauti ikimwambia ili apone ni lazima atubu dhambi ya uzinzi kwa mumewe.
Baada ya kusikia hayo Mbuya na mkewe walikwenda kumukabili Nabii Josephati Mwingira na kumukuta yupo na Mkwewe (Elikunda Mwingira). Bertha aliweka wazi uzinzi aliofanya na Mwingira mbele ya kikao cha watu wane ambapo Mke wa Mwingira alikiri kusikia habari za uzinzi huo na Bertha alomba radhi kwa Elikunda (mke wa Mwingira) ambapo alimusamehe lakini Mwingira hakujibu chochote.
 
sadaka yangu nikitoa namsaidia mwenye shida yatima na wanaohitaji msaada wangu kanisani sitoi ngo'sijawa mjinga namna hiyo!!

Ok simple,kumbe unaamini kutoa kwa wenye shida na hutoi sadaka kanisani,basi waache wanaoamini ktk
kutoa sadaka kanisani'
 
REMSA SOMA HAPO JUU MUUMINI WAKE
http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...9oHgAw&usg=AFQjCNHSPRldpniWleOoMgNvc1Hk6dwElQ
http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...9oHgAw&usg=AFQjCNGsDeZjE1_R-HtbCG5GMc10kaui0Q
 
Last edited by a moderator:
Yawezekana wewe ni mmoja wa wajinga otherwise kama hutoi sadaka,unajua sadaka zako zinatumikaje'
hivyo wewe ni mjinga pia wa huko unakotoa sadaka'

Mbegu(Sadaka) inapandwa kwenye udongo wenye rutuba!!!Sio unatoa sadaka Mwingira anahonga makahaba!!!
 
Hata hivyo hii ni sehemu ya mgogoro uliojitokeza Mhakama kuu kanda ya DSM katika kesi namba 266/2010 iliyofunguliwa na Nabii Josephati Mwingira , mlalamikaji(Mwingira )anamulalamikia Eliya Hubert mbuya kuvunja mkataba wa kumupa sehemu ya kiwanja katika plot namba 548(a) eneo la Kawe Beach ambapo Mwingira amejenga nyumba ya thamani ya

Tshs 1,000,000,000 na kuishi humo.
Katika kesi hiyo Mbuya anatetewa na Wakili Michael Ngalo ambaye anajibu malalamiko ya Josephate Mwingira kama ifuatavyo:

‘That the plantiff's claim and assertion that he is a ‘holy spiritual leader, apostle and prophet' are matters whose varaciy and authenticity are only known to God and cannot be admitted or denied by the defendant but the defendant aver that the plantiff is a Founder and oversee of Efatha Ministry with a tittle of a Managinging director and also a trustee and chairman of its board of trustee of the Registered Trustee of Efatha ministry who in his personal capacity sexually assaulted and raped the Defendant's wife and defiled the defendant house on plot number 548 Kawe Beach Kinondoni DSM in despite of his claim for holiness as a spiritual leader .'

Wakili Michael Ngalo anaendelea katika Kipengele Cha nane kama ifuatavyo:
‘That in the meantime and then Unknown to the Defendant the Plantiff had sexually assaulted and raped the Defendant wife in the defendants house while the Defendant was at his place of work and managed to bribe the defendants wife into silence about the incident and later an adulterous association persited between the Plaintiff and the Defendants wile for a period of three years until God compelled the Defendant wife to make confession to the defendant about the adulterous association with the Plantiff".
Kwa ufupi Mbuya anamtuhumu Mwingira kuwa amekuwa ana mbaka mkewe aitwaye Bertha Evarist Mbuya kwa nyakati tofauti tangia mwaka 2003 hadi alipotubu mwenyewe mwaka 2009.
Maelezo yake yanaonyesha kuwa , Mbuya na Mkewe walijiunga na Kanisa la Efatha na kujitoa katika huduma hiyo kwa kuchangia michango mingi ikiwa ni pamoja na kutoa uwanja katika nyumba aliyojenga Mwingira.Mbuya anasema, mwaka 2009 mkewe( Bertha) alitubu kwake na kumwambia kuwa siku moja mwaka 2003 akiwa kazini ,yeye (mke) alizini na Nabii Josephati Mwingira ndani ya nyumba yao iliyopo karibu na nyumba ya Mwingira!!!
Bertha alimweleza Mbuya kuwa aliamua kutubu baada ya kupata ugonjwa mbaya uliomusumbua kwa muda wa miaka mitatu ambapo katika kumwomba Mungu alisikia sauti ikimwambia ili apone ni lazima atubu dhambi ya uzinzi kwa mumewe.
Baada ya kusikia hayo Mbuya na mkewe walikwenda kumukabili Nabii Josephati Mwingira na kumukuta yupo na Mkwewe (Elikunda Mwingira). Bertha aliweka wazi uzinzi aliofanya na Mwingira mbele ya kikao cha watu wane ambapo Mke wa Mwingira alikiri kusikia habari za uzinzi huo na Bertha alomba radhi kwa Elikunda (mke wa Mwingira) ambapo alimusamehe lakini Mwingira hakujibu chochote.

Unaweza kutembea na hati ya mtu ya mashtaka ya dhambi ambayo mwenzio alishaitubu na yuko safi,
hujiangalii wewe dhambi ngapi unazoendelea kutenda zinakuweka kwenye hatari ya kwenda motoni'
unamnyooshea mtu kidole kimoja vinakurudia vinne.'Jitafakari wewe'
 
Unawezaje kuthibitisha ukahaba wa Mwingira kama hujafanya nae ukahaba?!!!!!
 
Unaweza kutembea na hati ya mtu ya mashtaka ya dhambi ambayo mwenzio alishaitubu na yuko safi,
hujiangalii wewe dhambi ngapi unazoendelea kutenda zinakuweka kwenye hatari ya kwenda motoni'
unamnyooshea mtu kidole kimoja vinakurudia vinne.'Jitafakari wewe'
Mwingira anawadanganya kuwa katubu???
Kwa nini wake za watu wazidi kuingiliana hapo na kugombana???
 
Kuna vitu huwezi nibadili kutoka dini yangu (thehebu langu) nikionaga hawa viongozi wadini walivo mbele kimaslahi hua nashukuru mungu Imani yangu izidi kuimarika
 
Unaweza kutembea na hati ya mtu ya mashtaka ya dhambi ambayo mwenzio alishaitubu na yuko safi,
hujiangalii wewe dhambi ngapi unazoendelea kutenda zinakuweka kwenye hatari ya kwenda motoni'
unamnyooshea mtu kidole kimoja vinakurudia vinne.'Jitafakari wewe'

well said bro
 
Mungu akubariki kwa neno lako
 
Hata hivyo hii ni sehemu ya mgogoro uliojitokeza Mhakama kuu kanda ya DSM katika kesi namba 266/2010 iliyofunguliwa na Nabii Josephati Mwingira , mlalamikaji(Mwingira )anamulalamikia Eliya Hubert mbuya kuvunja mkataba wa kumupa sehemu ya kiwanja katika plot namba 548(a) eneo la Kawe Beach ambapo Mwingira amejenga nyumba ya thamani ya

Tshs 1,000,000,000 na kuishi humo.
Katika kesi hiyo Mbuya anatetewa na Wakili Michael Ngalo ambaye anajibu malalamiko ya Josephate Mwingira kama ifuatavyo:

‘That the plantiff's claim and assertion that he is a ‘holy spiritual leader, apostle and prophet' are matters whose varaciy and authenticity are only known to God and cannot be admitted or denied by the defendant but the defendant aver that the plantiff is a Founder and oversee of Efatha Ministry with a tittle of a Managinging director and also a trustee and chairman of its board of trustee of the Registered Trustee of Efatha ministry who in his personal capacity sexually assaulted and raped the Defendant's wife and defiled the defendant house on plot number 548 Kawe Beach Kinondoni DSM in despite of his claim for holiness as a spiritual leader .'

Wakili Michael Ngalo anaendelea katika Kipengele Cha nane kama ifuatavyo:
‘That in the meantime and then Unknown to the Defendant the Plantiff had sexually assaulted and raped the Defendant wife in the defendants house while the Defendant was at his place of work and managed to bribe the defendants wife into silence about the incident and later an adulterous association persited between the Plaintiff and the Defendants wile for a period of three years until God compelled the Defendant wife to make confession to the defendant about the adulterous association with the Plantiff".
Kwa ufupi Mbuya anamtuhumu Mwingira kuwa amekuwa ana mbaka mkewe aitwaye Bertha Evarist Mbuya kwa nyakati tofauti tangia mwaka 2003 hadi alipotubu mwenyewe mwaka 2009.
Maelezo yake yanaonyesha kuwa , Mbuya na Mkewe walijiunga na Kanisa la Efatha na kujitoa katika huduma hiyo kwa kuchangia michango mingi ikiwa ni pamoja na kutoa uwanja katika nyumba aliyojenga Mwingira.Mbuya anasema, mwaka 2009 mkewe( Bertha) alitubu kwake na kumwambia kuwa siku moja mwaka 2003 akiwa kazini ,yeye (mke) alizini na Nabii Josephati Mwingira ndani ya nyumba yao iliyopo karibu na nyumba ya Mwingira!!!
Bertha alimweleza Mbuya kuwa aliamua kutubu baada ya kupata ugonjwa mbaya uliomusumbua kwa muda wa miaka mitatu ambapo katika kumwomba Mungu alisikia sauti ikimwambia ili apone ni lazima atubu dhambi ya uzinzi kwa mumewe.
Baada ya kusikia hayo Mbuya na mkewe walikwenda kumukabili Nabii Josephati Mwingira na kumukuta yupo na Mkwewe (Elikunda Mwingira). Bertha aliweka wazi uzinzi aliofanya na Mwingira mbele ya kikao cha watu wane ambapo Mke wa Mwingira alikiri kusikia habari za uzinzi huo na Bertha alomba radhi kwa Elikunda (mke wa Mwingira) ambapo alimusamehe lakini Mwingira hakujibu chochote.
Duuuh hii taarifa imeshiba kweli kweli. Mkuu unaweza kutupatia source kwa faida ya wale wanashabikia vitu kwa kupinga tu hata kama ni vya kweli.
 
Back
Top Bottom