Mtikisiko wa Usajili: Yanga yasema Jiji kutikisika leo

mawaridi

Member
Joined
Aug 30, 2015
Posts
47
Reaction score
123
Klabu ya Yanga kwa kupitia mitandao yake ya kijamii imetangaza kuwa Leo Jiji na Nchi nzima itazizima kwa Usajili itakaoutangaza kesho

Wananchi wanasema wao Wana watu mpaka huko "Upande wa Pili", wamepindua meza kibabe

Tujumuike nami hapo Leo baadae tuone kishindo Cha Wananchi

Screenshot_20210802-223545~2.jpg
 
🤣🤣🤣🤣 Uto FC.
Klabu ya Yanga kwa kupitia mitandao yake ya kijamii imetangaza kuwa Leo Jiji na Nchi nzima itazizima kwa Usajili itakaoutangaza kesho

Wananchi wanasema wao Wana watu mpaka huko "Upande wa Pili", wamepindua meza kibabe

Tujumuike nami hapo Leo baadae tuone kishindo Cha Wananchi

View attachment 1877964
 
Ni muda wao huu! Wacha watambe!
 
Tatizo la nchi hii ni ujinga maradhi na umaskini.

Sasa hapo ukiona pesa wanayo vinabaki vitu viwili - ujinga na maradhi

Wakati mwingine yanga wana portray sifa za mgonjwa wa akili kwa level za ujinga walionao.
Kama ni nchi kutikisika mwaka jana ilitikisika kweli.Ilikuwa ukisikia Sarpong..unaona goli kama nne tayari.
 
Mbumbumbu fc tulieni
 
Shangilieni sasa, mkabebe Injinia wenu, lakini ligi ikianza malalamiko yapo palepale.
 
Back
Top Bottom