Kama kweli Yanga wamempata huyu mwamba basi wamelamba dume. Jamaa ni mzuri sana kwenye kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja na anapenda kucheza mpira wa chini kiasi naamini sasa Yanga itabadilika sana na kuachana na mpira wa kubutua butua.Inasemekana ni Khalid Aucho kuna upande umebomolewa sana!.![]()
Simba inabidi sasa wapambane wamrudishe Fraga kwa makataba mfupi hata miezi sita wakimwangalia maendeleo yake ya kiafya au wamtafute kiungo mmoja mrefu hivi mweupe wa AS Vita (jina limenitokaka) ambaye naye ni mwamba sana kwa kazi chafu kati kati ya uwanja.