Klabu ya Yanga kwa kupitia mitandao yake ya kijamii imetangaza kuwa Leo Jiji na Nchi nzima itazizima kwa Usajili itakaoutangaza kesho
Wananchi wanasema wao Wana watu mpaka huko "Upande wa Pili", wamepindua meza kibabe
Tujumuike nami hapo Leo baadae tuone kishindo Cha Wananchi
View attachment 1877964
Ni muda wao huu! Wacha watambe!Klabu ya Yanga kwa kupitia mitandao yake ya kijamii imetangaza kuwa Leo Jiji na Nchi nzima itazizima kwa Usajili itakaoutangaza kesho
Wananchi wanasema wao Wana watu mpaka huko "Upande wa Pili", wamepindua meza kibabe
Tujumuike nami hapo Leo baadae tuone kishindo Cha Wananchi
View attachment 1877964
Yanga kwenye dirisha la usajili huwa wananenepa kabisaNi muda wao huu! Wacha watambe!
Kila mtu na muda wake wa kutamba, huu ndio muda pekee wa uto kutamba, mwishoni ni lawama kwa waamuzi na TFFYanga kwenye dirisha la usajili huwa wananenepa kabisa
Tuwe na subiraKwani Wananchi Leo wamtangaza nani? Naona kama kweli watu wanapatwa na kiwewe
Mbumbumbu fc tulieniTatizo la nchi hii ni ujinga maradhi na umaskini.
Sasa hapo ukiona pesa wanayo vinabaki vitu viwili - ujinga na maradhi
Wakati mwingine yanga wana portray sifa za mgonjwa wa akili kwa level za ujinga walionao.
Kama ni nchi kutikisika mwaka jana ilitikisika kweli.Ilikuwa ukisikia Sarpong..unaona goli kama nne tayari.
MpilipiliKwani Wananchi Leo wamtangaza nani? Naona kama kweli watu wanapatwa na kiwewe
Msikalili kuwa kila siku ni jumapili ndo maandalizi ya kuwaachia man yo ya hivyoShangilieni sasa, mkabebe Injinia wenu, lakini ligi ikianza malalamiko yapo palepale.
Haya utapu tapu fcPiter banda ndani. mikia tulieni