Mtikisiko wa Usajili: Yanga yasema Jiji kutikisika leo

Topolos wanatikisa ati ... tafsiri ya haraka haraka ya free transfer ni magalasa.
 
Hongera mtani kumrudisha makambo
Ahsante Mtani!! Japo najikuta nawaza kuwa ipo haja ya sisi mashabiki wa Timu ya Wananchi kuwa na subira hasa mpaka afikie yule Makambo wa kipindi ile kwani huyu wa sasa hakuwa na ule moto alioondoka nao.

Mana la sivyo tutamzodoa na kulia lia mitandaoni kila siku na kusahau kwamba alikuwa anasugua benchi huko alikotoka.
 
Hamna klabu ya congo itakayokuachia mchezaji tegemezi free agent,congo utamaduni wao miaka na miaka kucreate wachezaji na kuuza,mayele top scorer vita club na yuko national team,wadanganye huko kwenye vijiwe vya kahawa,Yanga yenyewe kuna mkongo imemuongezea mkataba juzi baada ya kupata offer south na morocco na ndio maana wanatafuta kiungo mkabaji maana jan wanaweza kumuuza
 
Kumbe unaongelea top scorer wa As vita mbona me sikatai, me nilikuwa naongelea top scorer wa ligi ya kuwa sio mayele

Hapo Tu ndio uzuri wa mashabiki wa Yanga unapokuja Yani mkiambiwa kitu na engineer inakuwa Sheria sijui smartphone zenu mnatumia kuingilia Instagram, Facebook na jamii forum Tu, kwahiyo unashindwa kutafuta info kuwa wachezaji wenu ni free agent? Anyway mkuu tuishie hapa mkuu tufanye mmevunja mikataba roho yako iridhike

Anyway nimekuwekea na picha ya top scorer wa ligi ya Kongo angalau uongeze kitu mtani
View attachment 1879012
 
Nani asiemjua top scorer wa congo,mayele ni top scorer wa vita club,na yupo national team,wacongo unawajua vizuri wewe eti mayele awe free agent!unadhani jimmy kindoki yule!
 
Nani asiemjua top scorer wa congo,mayele ni top scorer wa vita club,na yupo national team,wacongo unawajua vizuri wewe eti mayele awe free agent!unadhani jimmy kindoki yule!
Siku sio nyingi utajua Tu ukweli ngoja waendelee kumuongelea
 
Nadhani ni vile timu bado haijawa na mfumo thabiti upande wa uendeshwaji ikifikia hatua hiyo haya hamutayaona tena.

Kwani tutakuwa tunasajili vile vyuma kweli kweli.
Amen to that
 
Nani asiemjua top scorer wa congo,mayele ni top scorer wa vita club,na yupo national team,wacongo unawajua vizuri wewe eti mayele awe free agent!unadhani jimmy kindoki yule!
Nime google profile ya huyo Mayele hamna kitu,Mayele mmepigwa asubuhi na mapema.
Ila tusiandikie mate wakati wino upo,ligi itaanza muda simrefu tutamuona anavyokatika mayeno ndomboro ya solo.
 
Nime google profile ya huyo Mayele hamna kitu,Mayele mmepigwa asubuhi na mapema.
Ila tusiandikie mate wakati wino upo,ligi itaanza muda simrefu tutamuona anavyokatika mayeno ndomboro ya solo.
Humjui mayele wewe,muulize kaseja alimfanya nini kwa mkapa mwaka huu huu friend match na drc
 
Nime google profile ya huyo Mayele hamna kitu,Mayele mmepigwa asubuhi na mapema.
Ila tusiandikie mate wakati wino upo,ligi itaanza muda simrefu tutamuona anavyokatika mayeno ndomboro ya solo.

Fiston kalala mayele,ligi ya congo kashika namba 2 kwa ufungaji
 
Vipi safari hii hatobebwa mtu kwa machela wakati wa kuwapokea wageni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…