Kama kweli Yanga wamempata huyu mwamba basi wamelamba dume. Jamaa ni mzuri sana kwenye kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja na anapenda kucheza mpira wa chini kiasi naamini sasa Yanga itabadilika sana na kuachana na mpira wa kubutua butua.Inasemekana ni Khalid Aucho kuna upande umebomolewa sana!.
Kama kweli Yanga wamempata huyu mwamba basi wamelamba dume. Jamaa ni mzuri sana kwenye kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja na anapenda kucheza mpira wa chini kiasi naamini sasa Yanga itabadilika sana na kuachana na mpira wa kubutua butua.
Simba inabidi sasa wapambane wamrudishe Fraga kwa makataba mfupi hata miezi sita wakimwangalia maendeleo yake ya kiafya au wamtafute kiungo mmoja mrefu hivi mweupe wa AS Vita (jina limenitokaka) ambaye naye ni mwamba sana kwa kazi chafu kati kati ya uwanja.
Kama kweli Yanga wamempata huyu mwamba basi wamelamba dume. Jamaa ni mzuri sana kwenye kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja n wamrudishe Fraga kwa makataba mfupi hata miezi sita wakimwangalia maendeleo yake ya kiafya au wamtafute kiungo mmoja mrefu hivi mweupe Bila shaka unamzungumzia zemango soze alietupia lakufutia machozi.
Nimemcheki hilo jina ulionipa siyo huyo. Yupo jamaa mmoja mrefu mweupe alipambana sana na Tadeo Lwanga pale dimba lakati kukawa na vita ya kufa mtu ile mechi ya Kinshasa ya CL Simba VS As Vita ambayo Simba walishinda goli 1- 0 kwa penati ya MugaluUnamaanisha zemanga soze aloifunga goli simba kwa mkapa
Me naona tangu aondoke james kotei bado cjaona kiungo mkabaji kama yeye tena hapa nchini, siyo lwanga wala fraga! wote wanapelea kwa koteiNimemcheki hilo jina ulionipa siyo huyo. Yupo jamaa mmoja mrefu mweupe alipambana sana na Tadeo Lwanga pale dimba lakati kukawa na vita ya kufa mtu ile mechi ya Kinshasa ya CL Simba VS As Vita ambayo Simba walishinda goli 1- 0 kwa penati ya Mugalu
Sidi Yacoub raia wa Mauritania club As Vita. Kwangu maoni yangu angewafaa sana Simba baada ya mwamba Aucho kwenda Yanga.Unamaanisha zemanga soze aloifunga goli simba kwa mkapa
Jiji limesimamaKlabu ya Yanga kwa kupitia mitandao yake ya kijamii imetangaza kuwa Leo Jiji na Nchi nzima itazizima kwa Usajili itakaoutangaza kesho
Wananchi wanasema wao Wana watu mpaka huko "Upande wa Pili", wamepindua meza kibabe
Tujumuike nami hapo Leo baadae tuone kishindo Cha Wananchi
View attachment 1877964
Kwa kweli jiji limesimama maana huyo Aucho ni mashine ya nguvu.Jiji limesimama