aikaruwa1983
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,398
- 1,504
google haina jibu rasmi bt here nitalipata!!google!!!
mtima ni mchanganyiko wa nyama, mfupa na mishipa ya damu ambao ukimuoda dada ana kanga ndembe unatikisika.
Kutisika huko husababisha tetemeko la mwili ambalo hupimwa kwa richeti scale za maneno ya mwanamme toward the said mwanamke.
Wakati mwingine tetemeko hilo husababisha kuwamgika kwa lava juu ya milima ya mwanamke.
mhhh nimetoka kapa
sio kiganda tu hata hapa TZ baadhi ya kabila neno mtima humaanisha moyo, mfano wahehe.Mtima ni moyo.....ni neno la kiganda mara nyingi kwenye nyimbo zao nasikia wanasema "mtima wange" ambao ni moyo wangu.