mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Hivi watumishi wa ikulu huwa hawastaafu?
Juzijuzi kuna mtumishi mmoja wa kisiwa cha Caribean amekufa akiwa na miaka 66
Mtumishi huyo amewahi kuwa mtangazaji maarufu wa TV na Radio
Sheria za kisiwa hicho zikoje?
Namuongelea chaz Al hilal mkurugenzi wa mawasiliano ikulu zanzibar