Mkuu, kila nchi ina taratibu zake za kustaafu kwa lazima.Hivi watumishi wa ikulu huwa hawastaafu?
Juzijuzi kuna mtumishi mmoja wa kisiwa cha Caribean amekufa akiwa na miaka 66
Mtumishi huyo amewahi kuwa mtangazaji maarufu wa TV na Radio
Sheria za kisiwa hicho zikoje?
Nafasi za kuteuliwa hazina kustaafuHivi watumishi wa ikulu huwa hawastaafu?
Juzijuzi kuna mtumishi mmoja wa kisiwa cha Caribean amekufa akiwa na miaka 66
Mtumishi huyo amewahi kuwa mtangazaji maarufu wa TV na Radio
Sheria za kisiwa hicho zikoje?
Namuongelea chaz hilaliMkuu, kila nchi ina taratibu zake za kustaafu kwa lazima.
Nilidhani unaongelea Tz yetu hii ndiyo maana nikakaza fuvu kuperuzi!
Na hata hivyo watumishi wa umma waandamizi Tz huwa hawastaafu, wengi hufia maofisini.
Wanaretirement za bandia kwa ajili ya kuvuna mafao tu.
Wakishakulipwa, ndiyo hurejeshwa maofisini na kupewa majukumu mengine mapya ya ubalozi, utendaji Ccm, ukuu wa mikoa nk nk hadi Mungu atakapowapenda zaidi ama atakapoamua ugomvi.
Kumbe!!! Nilikua sijui
Ok ok ok, lakini si alikuwa kada msisiem? Huwaga hawastaafu hao.Namuongelea chaz hilali
Huko mtazika mgomba, Marehem Chalz atazikwa Zenj.Tumemchimbia kaburi la futi sita hapa Tinde Shinyanga, mwili ukifika tunamzika classmate...😥