Mtindo anaotumia Makonda kuongoza ndio wananchi wanachopenda

Mtindo anaotumia Makonda kuongoza ndio wananchi wanachopenda

Issuna

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,203
Reaction score
7,628
Ni ukweli usiopingika Tanzania ina wananchi wengi wa hali ya chini na ili ufanikiwe kuingia mioyoni mwao ni lazima ujishushe chini kabisa mavumbini.

Anachofanya makonda japo ni kwa "Kuiga" si mbaya kuiga mazuri na ndicho afanyacho.

Watanzania wengi tukubali tukatae wanaona wanapuuzwa, ukitaka washika mioyo yao TATUA matatizo yao tena hadharani.

Ndio mana hawakuruhusu mgombea Urais wa kujitegemea asie na chama, la sivyo nina uhakika si CCM wala chama kingine kingeshika Urais.

Wapo watu baki wanasaidia wananchi kwa misaada, matibabu, nk, wananchi wanawapenda sana hawana namna tu. Dr. Mengi angekuepo akaruhusiwa sioni wa kumtoa, na wengine wengi.

Makonda amejua nini wananchi wanahitaji na hii inaonekana kama sarakasi ya kombolela, ila anachofanya Makonda mtaona majibu yake 2025.

Endeleeni kubeza mje mseme CCM wezi wa KURA!
 
Mataga bila wizi watachaguliwa na kushinda na wachawi tu.
Biliv me.
 
Back
Top Bottom