Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
BILA PICHA NI UCHOCHEZI TUKariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya,kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangusha linanyanyuliwa lingine,Safi sana.ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya,wacha nitafute pesa.
Kariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya,kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangusha linanyanyuliwa lingine,Safi sana.ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya,wacha nitafute pesa.
Hawatoi mfukoni kwao, ni mikopo ya benki mkuu, hata wewe ukijipanga vizuri tu unapewa mkopo ushushe kabati la maana tu..Watu wana pesa, mimi nashindwa kujenga choo watu wanaporomosha magorofa.
Naona kwa sasa hata ule mpango wa kujenga kwa ubia watu wanaukataa wanajenga kwa kununua mtu atoke kabisaHayo maghorofa yanayojengwa ni pesa zilizofunguka Toka serikali. Mfumo wa pesa umeshashafunguka tayari Kwa wajanja wa mjini kumbuka miaka Ile ya zamani watu walikuwa wananunua nyumba za kawaida wanavunja na wanajenga maghorofa lkn sikuhizi utakuta ghorofa 7 inavunjwa inajengwa upya kisiasa zaidi..
Nipo kariakoo zaidi ya miaka 10 najua mipango mingi watu wanafanya
Yeah maana akipata maduka 50 yataosha kabisa kurudisha gharama ndani ya miaka 10Sure adse ghorofa nyingi zinapigwa chini
Lengo ni kuongeza wigo wa biashara sahv wanaanza na underground then wanaongeza na flow pia