mtiririko wa matukio kitakacho tukea CHADEMA kulingana hali ya sasa

strongest

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
343
Reaction score
1,562
1- mbowe atachukua form

2- Mbowe atashinda uwenyekiti

3-lissu atotoa tuhuma mbowe katoa rushwa

4- lissu atahamia ACT wazalendo

5-lissu atagombea urais kupitia Act wazalendo 2025

6- lissu ataambulia 8% ya kura manake atashindwa

7-Ataondoka kuelekea Belgium akimtuhumu mbowe anataka kumuangamiza.
 
Unaota,Mbowe hagombei!
 
Acha uchochezi
 
6. Atapata 0.09% ndizo kura walizopata act Wazalendo kwenye serikali za mitaa.
 
Back
Top Bottom