Mtitu na Wema wazichapa msibani

Mtitu na Wema wazichapa msibani

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua wasanii Wema Sepetu na Mtitu usiku wa kuamkia jumatatu walizinguana kinoma kaisi cha kutaka kutoana roho kwa kile kinachodaiwa Wema kujibu nyodo mara baada ya kupata taarifa za msiba wa Adam Kuambiana. Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichokuwepo eneo la tuki kilisema kuwa chanzo cha ugomvi huo ni baada ya kifo cha Adamu wasanii wote walifika kwa wakati eneo la msiba isipokuwa Wema Sepetu ambae hakuonekana mapema.

Hata hivyo baada ya kutoonekana Wema msibani mwenyekiti wa Bongo Movie alimpigia simu Wema na kumueleza kama ameusikia msiba wa Adamu" Unaambiwa Wema alimjibu kunya steve kiasi cha kukata simu, kwani alimwambia kama ndiyo ameusikia msiba kwa hiyo steve anatakaje?" Kilisema chacho hicho.

Hata hivyo Wema inadaiwa aliendelea kusema kama Adamu amekufa si siku zake zilikuwa zimefika, ndipo steve alipomwambia anatakiwa aonekane msibani kwani wasanii wenzake wote wapo yeye tu ndo haonekani, ndipo Wema alipojibu kuwa mbona yeye alipofiwa na babaake hakumuona Adamu kwa hiyo asilazimishwe kama ataenda basi kwa hiari yake.
 
Sijaelewa kabisa Mtitu kampigia wapi wema wakati hakuwwpo msibani na Steve kaingiaje ...umbeya kazi sana
 
jamani kama mmeishiwa umbea karibuni kule jukwaa la habari na mambo mchanganyiko kwenye thread ya le totoz kuhusu nbc bank muone michambo ya kiutu uzima.
 
jamani kama mmeishiwa umbea karibuni kule jukwaa la habari na mambo mchanganyiko kwenye thread ya le totoz kuhusu nbc bank muone michambo ya kiutu uzima.

Ahsante, not interested
 
jamani kama mmeishiwa umbea karibuni kule jukwaa la habari na mambo mchanganyiko kwenye thread ya le totoz kuhusu nbc bank muone michambo ya kiutu uzima.

Le Totoz ana Nyumba,ana blog,ana ICD na pia amepanga appartment vyumba vi3.....
 
Labda anazungumzia taarifa uliyotoa awali mkuu. Lkn mabadlko yaltokea ndo mana umetundka Uzi tna.[/QUOTE

Mabadiliko ya nini??



NDo nimetoka eneo la tukio binamu, yaani hakuna watu hata kidog , nadhan waliokuwepo ni ndugu wa karibu na familia, nadhani ni kutokana na mda nilioeenda na umbali wa eneo la tukio, maana kuna ka umbali kutoka barabaran had kwenye msiba

Kingine watu wengi hawamjui adam kuambina, hata majiran wa uko bunju maana nilipata shida sana kufika, yaan hakuna aliyekuwa akimjua adam maeneo yale, nadhan hakuwa mwenyej sana maeneo yale, mengine madogo madog ntaongea kesho maana choka mbaya apa.
Ndio mana nikasema mabadlko ulvoenda na baada ya hapo mkuu.
...
 
Wema ana haki ya kuwajibu hovyo. Ktk mila zetu za kitanzania kushiriki msiba ni hiari ya mtu mwebyewe. Kama wewe hushiriki na wewe siku yakikufika hawatakuja.
Wanachotakiwa hawa wasanii ktk umoja wao wajiwekee taratibu/sheria zao kama vikundi vingine vya kijamii vinavyofanya.
Haileti picha nzuri kwao eti msiba ikitokea ndo waanze kutafutana. Mbona kwenye birthday parties na futari huwa wanajitokeza sana tu.

Halafu hawa wasanii ndo kila siku wanajiita eti kioo cha jamii?!! Seriously jamii ipi??!!
 
Back
Top Bottom