warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua wasanii Wema Sepetu na Mtitu usiku wa kuamkia jumatatu walizinguana kinoma kaisi cha kutaka kutoana roho kwa kile kinachodaiwa Wema kujibu nyodo mara baada ya kupata taarifa za msiba wa Adam Kuambiana. Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichokuwepo eneo la tuki kilisema kuwa chanzo cha ugomvi huo ni baada ya kifo cha Adamu wasanii wote walifika kwa wakati eneo la msiba isipokuwa Wema Sepetu ambae hakuonekana mapema.
Hata hivyo baada ya kutoonekana Wema msibani mwenyekiti wa Bongo Movie alimpigia simu Wema na kumueleza kama ameusikia msiba wa Adamu" Unaambiwa Wema alimjibu kunya steve kiasi cha kukata simu, kwani alimwambia kama ndiyo ameusikia msiba kwa hiyo steve anatakaje?" Kilisema chacho hicho.
Hata hivyo Wema inadaiwa aliendelea kusema kama Adamu amekufa si siku zake zilikuwa zimefika, ndipo steve alipomwambia anatakiwa aonekane msibani kwani wasanii wenzake wote wapo yeye tu ndo haonekani, ndipo Wema alipojibu kuwa mbona yeye alipofiwa na babaake hakumuona Adamu kwa hiyo asilazimishwe kama ataenda basi kwa hiari yake.