cc Carton barlet lol
Ha ha msengerymmoja shem wenu kaufuta.
Ngoja nitauweka kwa id ingine
Hana kazi ndio maana halafu na ugumu wa maisha unachangia....
Ana mda nchafu sana wa kupiteza hapa jf ingawa huwa anajitapa anauwezo lakini kwa tabia zake anaonekana hana kazi....
Kutwa kutafuta ligi zisizo na msingi halafu ana IDs kama mchanga...
Kwa ujumla hajielewi....
Mi nilijua mmiliki wa JF kumbe hadi wamiliki wanakula ban si mchezooii
Mi nilijua mmiliki wa JF kumbe hadi wamiliki wanakula ban si mchezooii
hivi Steve kwanini ana wafatilia sana hawa mabinti? Hachoki?