BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Mkuu ina maana faraja kamwiba Nyarandu kwa MTU??
Nimeandika muondoe Kota.....
Kwa lugha nyingine muondoe faraja kota
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ina maana faraja kamwiba Nyarandu kwa MTU??
Nyie wanawake wa Tanzania hususani huko Instagram fuateni mifano ya wanawake wenzenu wanaojielewa kama Jackline Ntuyabaliwe na Faraja Nyarandu na Nancy Sumari.. Hawa wadada nawapenda sana, hawanaga scandal uchwara na wametulia wanafanya maisha yao...
Hakuna Tabia inayonikera kama hawa wadada wa mjini wanaojiita team Wema mara team kajala na team lulu.. Hivi hao watu wana tabia gani njema mpaka wawe na wafuasi?? Na hao wafuasi wana kazi za kufanya au ndo iyo ya kusifia na kutukanana huko instagram kutwa nzima?? Mbona sijawai sikia team kylin wala team sumari??? Niliingia huko instagram kwa mashinikizo kadhaa ila ilibidi niblock huo uchafu sijui wema, lulu block wote hao.. Hawana post za maana zaidi ya kupiga makalio yao na kuyaweka tuyasifie.. Shupid
Naomba kuwasilisha...