Monica Mgeni Member Joined Oct 7, 2021 Posts 82 Reaction score 134 Jun 14, 2022 #1 Utaona wanyama baada ya kuwekewa Mipaka wanaona mwanga na matumaini makubwa.
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Jun 14, 2022 #2 Masai wa Kenya na uganda wako njiani kuelekea Loliondo kwenda kuongezea wamasai waTanzania nguvu
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Jun 14, 2022 #3 Wanyama wamenuna na wengine wanashangaa