Mtizamo: Wachezaji wa Simba wametuchelewesha sana Taifa stars

Mtizamo: Wachezaji wa Simba wametuchelewesha sana Taifa stars

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kama title inavyosema hapo juu kulingana na performance ya Leo mechi ya Taifa stars vs uganda nmegundua yafuatayo:

1. Ile fighting spirit waliyonayo wachezaji wa Yanga bado imeonekana katika mechi ya Leo Kwa taifa stars

2. Kwa kujituma Kwa hawa wachezaji wa Yanga sina wasiwasi hata pale kocha atabeba kikosi chote cha Yanga kucheza taifa stars ukiondoa wachezaji wa kigeni.

3. Kuna watu walitamani tupoteze mchezo huu....... lakini wananchi wametuokoa.... performance kali ya Mudathir + Dickson job ......na wengine wananchi by origin kama Msuva

NB: Kocha ikikupendeza toa wachezaji wote wa kolo FC except Manula
View attachment 2564127
 
Umesema ukweli mtoa Mada Mimi ni Yanga na kuna uzi nilisema beki za Yanga ndo zipangwe Taifa Stars sababu ukuta wao umeruhusu goli chache ligi kuu leo ukweli umedhihiri.

Pia nilisema Novatus asifanyiwe sub na imejibu pia!

Wachezaji wa Simba wanaofaa Taifa Stars ni Mzamiru na Kibu Denis tu maana timu ya Taifa wengine wote Huwa hawajitumi.

Kocha mpya mwarabu ameanza vizuri apewe muda hata five years Ili kina Sopu waje watuokoe maana Wana njaa ya kufunga!
 
Umesema ukweli mtoa Mada Mimi ni Yanga na kuna uzi nilisema beki za Yanga ndo zipangwe Taifa Stars sababu ukuta wao umeruhusu goli chache ligi kuu leo ukweli umedhihiri.

Pia nilisema Novatus asifanyiwe sub na imejibu pia!

Wachezaji wa Simba wanaofaa Taifa Stars ni Mzamiru na Kibu Denis tu maana timu ya Taifa wengine wote Huwa hawajitumi.
Ukweli inauma sometimes Ila umejiandaaje kuoga matusi?
 
Mnaocomment kumkashifu mtoa mada mnakosea sana, sababu mtoa mada sio kama haelewi ila anapata furaha zaidi pale mnapokuwa mnampinga.

Kwangu mimi mtoa mada nakuunga mkono ikiwezekana na bangala na mayele wawepo pale ili Tanzania ishinde.
 
Nyie mnaotukana hadi wazazi wa mtu, mnakosea sana. Aliyeandika hapa ni mzazi wake?
Mambo ya ushabiki yasifike kutoa utu wa mtu, hata kama unatumia ID fake.
Kutukana siyo kwamba ujanja. Ni ukosefu wa heshima na akili.
Jibu hoja kwa ushabiki aliouandika si matusi.
 
Kama title inavyosema hapo juu kulingana na performance ya Leo mechi ya taifa stars vs uganda nmegundua yafuatayo:

1. Ile fighting spirit waliyonayo wachezaji wa Yanga bado imeonekana katika mechi ya Leo Kwa taifa stars

2. Kwa kujituma Kwa hawa wachezaji wa Yanga sina wasiwasi hata pale kocha atabeba kikosi chote Cha Yanga kucheza taifa stars ukiondoa wachezaji wa kigeni

3. Kuna watu walitamani tupoteze mchezo huu.......lkn wananchi wametuokoa.... performance kali ya mudathir + Dickson job ......na wengine wananchi by origin kama msuva

NB: kocha ikikupendeza toa wachezaji wote wa kolo FC except manula
View attachment 2564127
🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom