LGWTQ tena mara hii ushamvesha upinde?Bila shaka wakati unaandika uzi huu kuna njemba ilikuwa inakupumulia huko nyuma.
Ukweli inauma sometimes Ila umejiandaaje kuoga matusi?Umesema ukweli mtoa Mada Mimi ni Yanga na kuna uzi nilisema beki za Yanga ndo zipangwe Taifa Stars sababu ukuta wao umeruhusu goli chache ligi kuu leo ukweli umedhihiri.
Pia nilisema Novatus asifanyiwe sub na imejibu pia!
Wachezaji wa Simba wanaofaa Taifa Stars ni Mzamiru na Kibu Denis tu maana timu ya Taifa wengine wote Huwa hawajitumi.
Umeenda mbali sana mkuu.LGWTQ tena mara hii ushamvesha upinde?
Matusi ni kitu pekee kimebaki kwa Makolo hivyo waje tu maana sisi Yanga tuna makombe hata watukane Ukweli wanaujua!Ukweli inauma sometimes Ila umejiandaaje kuoga matusi?
Aaah mkuu ni wewe umesema si mimiUmeenda mbali sana mkuu.
Jamaa wanajua kuyamwaga utaweza kuvumilia lakini?Matusi ni kitu pekee kimebaki kwa Makolo hivyo waje tu maana sisi Yanga tuna makombe hata watukane Ukweli wanaujua!
🚮🚮🚮Kama title inavyosema hapo juu kulingana na performance ya Leo mechi ya taifa stars vs uganda nmegundua yafuatayo:
1. Ile fighting spirit waliyonayo wachezaji wa Yanga bado imeonekana katika mechi ya Leo Kwa taifa stars
2. Kwa kujituma Kwa hawa wachezaji wa Yanga sina wasiwasi hata pale kocha atabeba kikosi chote Cha Yanga kucheza taifa stars ukiondoa wachezaji wa kigeni
3. Kuna watu walitamani tupoteze mchezo huu.......lkn wananchi wametuokoa.... performance kali ya mudathir + Dickson job ......na wengine wananchi by origin kama msuva
NB: kocha ikikupendeza toa wachezaji wote wa kolo FC except manula
View attachment 2564127
Wengine Wana nini km hawana akili?Manara Aliimaliza Kesi Yenu.!
Wenye Akili hawazidi Wawili huko