Mtizamo: Wachezaji wa Simba wametuchelewesha sana Taifa stars

Mods mnatufanya wote tuonekane Wahuni kama huyu Mbulura.
 
Huu ni upumbavu sana.
Ni nani alitamani timu ifungwe kisa wachezaji wake hawakuchaguliwa?
Huu ni upunguani kuleta uzi kama huu,kwani kutoitwa wachezaji wake timu ya taifa kuna faida kubwa kwa Simba kuliko hizo sifa unazotaka.
 
Wanachotakiwa kuelewa hawa Utopolo ni kwamba wachezaji walioachwa sio kwamba ni wabaya probably hawafit kwenye mfumo wa kocha.

Kuna hata wachezaji wa Yanga wazuri tu na wameachwa kwa hiyo Utopolo mnamaanisha na hao wachezaji wenu wana uwezo mdogo na pia wamelichelewesha Taifa??

Afcon iliyopita hao wachezaji wa Simba walioachwa chini ya Kim Paulsen walihusika au hawakuhusika kuipeleka timu kwenye mashindano ya Afcon??

Baadhi ya washabiki wa Yangu mnalitia Taifa aibu kwa mawazo yenu finyu ndio maana timu yenu ipo nafasi sijui ya sabini na ngapi huko Africa nzima.
 
Uko sahihi Mkuu, Makolo wametuchelewesha sana,, hawa wachezaji wa Madunduka FC hawana spirit kabisa ya kupambania Timu..
 
Kipimo cha akili ya mtu
 
Huwa unaelemewa na ujinga mwingi sana.Na tukikuacha bila kukueleza utazoea na kuona ndivyo unapaswa kuandika na kuishi.Kua.Acha tabia za kitoto.
 
Kweli kabisa.
 
Mbna Sasa mlipiga kelele baada ya kuachwa
 
Ila ikiwa hivyo kolo fc wataandamana😂
 
Washabiki wa utopolo wote wapo kama afande tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…