Mtizamo: Wachezaji wa Simba wametuchelewesha sana Taifa stars

Watu niliwaambia sometimes mpira ni bahati, sasa kocha kaingia mkenge wa kuwaita wachezaji wenye mikosi kapombe na zimbwe wameleta mkosi wao tumeishia kufungwa jana. Simba na uchawi uchawi wao lazima wachezaji nao wabebe mikosi.
 
Wenye bahati wangemaliza mchezo kabla ya wenye nuksi kuingia ili tuone hiyo nuksi.

On target moja tu kila upande, ninyi mkafa! Off target 7, wao 5.

Possession 51.9, lakini timu imetepeta!

Attackers hamna kitu, kiungo kati, beki kati na Manula, hamna kitu!

Tuendelee tu kutukisa matiti!
 
Kabisa mkuu ..,hakukua na haja
 
Wenye bahati wangemaliza mchezo kabla ya wenye nuksi kuingia ili tuone hiyo nuksi.

On target moja tu kila upande, ninyi mkafa! Off target 7, wao 5.

Possession 51.9, lakini timu imetepeta!

Attackers hamna kitu, kiungo kati, beki kati na Manula, hamna kitu!

Tuendelee tu kutukisa matiti!
Bora kingebaki kikosi kile kile
 
Wenye bahati wangemaliza mchezo kabla ya wenye nuksi kuingia ili tuone hiyo nuksi.

On target moja tu kila upande, ninyi mkafa! Off target 7, wao 5.

Possession 51.9, lakini timu imetepeta!

Attackers hamna kitu, kiungo kati, beki kati na Manula, hamna kitu!

Tuendelee tu kutukisa matiti!
Wewe ni......
au basi.
 
Nadhani tumeona kilichotokea Baada ya kapombe na zimbwe kuongezwa stars
Sasa Zimbwe na Kapombe kosa lao lipi kwenye lile goli, au ndiyo kutafuta kichaka cha kujifichia. Zimbwe katoka timu bado imara, na Kapombe hata goli halikutokea upande wake. Yaani kosa la kiungo wa kati ambaye wakati ule alikuwa Dickson Job baada ya kutolewa Mzamiru na Himid Mao, uje kutaja kuangusha lawama kwa wengine. Humlaumu Job sababu ni Yanga na ndiyo timu unayoshabikia

Mwenye makosa ni kocha mwenyewe kwa kutoa viungo ambao walikuwa wakishikilia timu na kumuweka beki kuwa kiungo na ndiyo shambulizi likafanyika kwake wakati tmu imepanda na beki za kati hazipo. 1
 
Back
Top Bottom