Mtngazaji huyu JACOB USUNGU yu wapi!

Mtngazaji huyu JACOB USUNGU yu wapi!

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
237
Alivuma sana akiwa na Sahara communication ltd akiwa anatangaza vipindi vya Roving DJ na miziki ya zamani ktk Star Tv na Radio Free. Ameadimika kwa kweli na binafsi ninamiss sana ladha zake. Anaejua anijuze, Ki wapi kiumbe hiki?
 
Jamaa aliamua kuachana na kuuza sura studio. Sasa hivi ni mjasiriamali mzuri, anafuata bidhaa Thailand, Hongkong, China, Dubai n.k.
 
Yuko Mwanza maeneo ya barabara ya Lumumba sehemu moja ina maduka mengi ya jumla.
 
Yupo Mwanza, sasa ameamua kujiajiri mwenyewe.. naona kajitoa kwenye ajira ya kusimamiwa
Amefungua vijiduka vyake vya electonics (simu na CD's) siku hizi amekuwa mtaalamu wakubarn CD's ukitaka CD za kubarn ni kwake..
 
Kituku acha vituko! kubarn ndiyo nini?

Nadhani taaluma yake toka awali haikuwa ina uhusiano na MASS COM... Huyu alikuwa fundi wa vifaa vya electronics!
 
Si watangazaji wooote wapo pale kitaaluma, wengi ni vihiyo na wajanja wa mjini tu.
 
hata mimi namkubali jamaa ile mbaya ikiwezekana arudi tena aisee......
 
uwi mimi mbavu sina kabisa..lol
Yupo Mwanza, sasa ameamua kujiajiri mwenyewe.. naona kajitoa kwenye ajira ya kusimamiwa
Amefungua vijiduka vyake vya electonics (simu na CD's) siku hizi amekuwa mtaalamu wakubarn CD's ukitaka CD za kubarn ni kwake..
 
mara ya mwisho kuonanana nae ilikuwa ni bwawani hotel zanzibar, sijui yu wapi sasa
 
Back
Top Bottom