Mto Mara unaanzia misitu ya Mau huko Kenya. Hii chumvi ni kutokana na virutubisho vya udongo. Tatizo ni kwamba kwenye maeneo ya tambare na joto huwa hii chumvi inaonekana kiurahisi baada ya maji ya ukingoni kukaukaInatolewa wapi hiyo chumvi? Na je mto mara ni salt water au fresh water?