Mto wenye muonekano halisi wa sura ya mwanamke

Mto wenye muonekano halisi wa sura ya mwanamke

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Ni mto Zambezi, unapatikana ndani ya nchi ya Zambia.[emoji179]
FB_IMG_1617888159651.jpg
 
Isiijekuwa katika wale watu wa zamani wakubwa wakubwa pengine kuna pisi kali ililala hapo kujipumzisha kutokana na ukubwa na uzito wake ndo akaafanya ardhi ibonyee mwishowe kutengeneza bonde kama hilo
Hii nadharia yako hapana aisee.
 
Back
Top Bottom