Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
ππππ CapuyorHuyu umri umesogea kiasi....hawezi kutuvutia sisi kina Capuyer, atawavutia Serengeti Boys tu.
inavyokaaa muda mrefu ndio inavyozidi kuwa kali au sio [emoji23][emoji23][emoji23]Arushaone, hii kitu ni kama wine, inavyokaa muda mrefu ndio inakuwa bora zaidi
Nomameddy kagere akipokea zawadi ya mchezaji bora wa mwezi wa ligi kuu bara Behaviourist kama nakuonaView attachment 1049504
Sent using Jamii Forums mobile app
ewaaa, kama nawe uko na umri huu karibu mamiiiArushaone, hii kitu ni kama wine, inavyokaa muda mrefu ndio inakuwa bora zaidi
Huyu umri umesogea kiasi....hawezi kutuvutia sisi kina Capuyer, atawavutia Serengeti Boys tu.
unamjua huyo? baby kabaye wa clouds 360 ana umama gani? mkuuNyie watoto muwe munaangalia mambo mengine,huyu hamuoni nikama mama yenu?muheshimu mama za wengine na wake za watu basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me mwenyewe naona ivo mkuu.
hakikaWatatuacha tuvae madera masaa 24