Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
- Thread starter
- #21
sasa nashangaa watu wanatoka povu wanasema ni mmama anayeweza kutuzaa...Me mwenyewe naona ivo mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa nashangaa watu wanatoka povu wanasema ni mmama anayeweza kutuzaa...Me mwenyewe naona ivo mkuu.
hahahah... lakini baby kabaye mwenyewe hii picha aliipost insta alafu huyu ni mdada bwana labda picha imemtoa kama mmama lakin itakuwa yupo late 30 au early 40's
Kweli kabisa dadaWe waache watatukuta siku humu humu na wataondoka watatuacha. Mfhhhh. sina la kuwajibu.
Hatuvai ng'o tutapiga jeans zetu na kuvaa mashati ya heshima watatushangaa. Mie bibi ba wajukuu mavazi yale yale ila yangu yana astaggafullahi kidogo. hahaha.Watatuacha tuvae madera masaa 24
watu wanaongea akati hata hamjui huyu... kuna mmoja kasema eti huyu anaweza hata kuwa mama yetu daaaaaay yani baby kabaye awe mama yetu [emoji23][emoji23][emoji23]Oya huyo demu Wa 360 mnakuza tu wenyewe wakati hats 36 yrs hajafika bado......yani hyo bado mboga ya moto kabisa kwa kulika
Sent using Jamii Forums mobile app
unapenda kutudanganya ww 😂😂😂😂Tusiokuwa na chura tunaruhusiwa kucomment humu
Hivi kuongea ukweli ni kudanganya jamaniunapenda kutudanganya ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kipi ulichotaka kuaminishwa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ni mnene tu hana hicho unachotaka kutuaminisha # hivi umeshawahi kumuona au kuona picha za sanchi wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah... insta babe kwaresma hii ujueHivi kuongea ukweli ni kudanganya jamani
Chemistry imekataa lakini kwenye kifusi na kitumbomeddy kagere akipokea zawadi ya mchezaji bora wa mwezi wa ligi kuu bara
anayekabidhi zawadi ni mtangazaji maarufu wa clouds Tv kipindi cha clouds 360 bibie Baby Kabaye (SISTER DRED) Behaviourist kama nakuonaView attachment 1049504
Sent using Jamii Forums mobile app