MTOA ZAWADI ANAPOKUWA KIVUTIO KULIKO MPOKEA ZAWADI NA HATA ZAWADI YENYEWE

MTOA ZAWADI ANAPOKUWA KIVUTIO KULIKO MPOKEA ZAWADI NA HATA ZAWADI YENYEWE

Dada niah na role model wangu Sky Eclat hebu njooni muone huu uzi vijana wanavyokosa adabu kwa mama zao
😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
hahahah... lakini baby kabaye mwenyewe hii picha aliipost insta alafu huyu ni mdada bwana labda picha imemtoa kama mmama lakin itakuwa yupo late 30 au early 40's

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni mnene tu hana hicho unachotaka kutuaminisha # hivi umeshawahi kumuona au kuona picha za sanchi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
kipi ulichotaka kuaminishwa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kwa kawaida hata ww ukikaa na mtoto wa kike yeyote hapo mtoto wa kike ndio atakuwa ni kivutio au ww umeelewa vipi hii post

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom