Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
[emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yanga Wamejaa wazee ambao wamekuja kula Pensheni....!
Aucho
Juma Shabani
Yanick Bangala
Kisinda
Yaani Hawa nina Hakika wakimalizana na Yanga ...... Hata Geita Gold hawatafaa
BigilinyamaYanga Wamejaa wazee ambao wamekuja kula Pensheni....!
Aucho
Juma Shabani
Yanick Bangala
Kisinda
Yaani Hawa nina Hakika wakimalizana na Yanga ...... Hata Geita Gold hawatafaa
Utopolo watapigwa kama NgomaNawaona Yanga wakikutana na Usm algers au Cs Cfaxien
for the record, wengi wa shirikisho wa mtoano stage hii wanakuwa na hasira sana na kutolewa champions league sasa machungu yote wanamalizia huku kwa hakuna cha machozi ya samakiAl Hilal japo wameiondoa Yanga lakini naiona ni timu dhaifu sana, ni kwa sababu Yanga imejaza sana majina kuliko uwezo wa wachezaji wenyewe. Wanadhani kuwa na majina makubwa ndiyo ukubwa wa timu. Timu inacheza lakini mipango haionekani, huyo Morrison bure kabisa, bure kabisa, Tei Toto ameshindwa kabisa kuonyesha kuwa hapa Bongo anapoteza muda wake.
Sasa huko kwenye mtoano wa Shirikisho, ni afadhali ukutane na Al Hilal kuliko hao wanaume wa shirikisho, huko hakuna kabisa matumaini wajomba. Timu zilizofuzu hatua ya 2 Shirikisho ambazo zinasubiri losers wa Champions ni balaa.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Mkuu umekasahau ka Bigirimana, kale ni kazee kabisaYanga Wamejaa wazee ambao wamekuja kula Pensheni....!
Aucho
Juma Shabani
Yanick Bangala
Kisinda
Yaani Hawa nina Hakika wakimalizana na Yanga ...... Hata Geita Gold hawatafaa
Yanga Wamejaa wazee ambao wamekuja kula Pensheni....!
Aucho
Juma Shabani
Yanick Bangala
Kisinda
Yaani Hawa nina Hakika wakimalizana na Yanga ...... Hata Geita Gold hawatafaa
Ikiwa hivyo ni lazima watafika kwenye penalty.Kuna rivers, plateau united
Nauona uwezekano wa yanga kipigwa 'Kipanga' (7-0) kwenye mtoano wa ccc.
Kwamba kwakua alipigwa na Club Africain basi hawezi kumsumbua Yanga Sc? We unadhani Yanga angechomoka kwa Club Africain?Penalty gani tena? Apigwe kipanga halafu ipigwe penalty? Kwani kipanga alipigiana penalties na Club Africain?
Sijui ni kwa nini! Ila mpaka kesho huwa naamini Ismail Aden Rage aliwaza mbali sana kuwaita hawa jamaa mbumbumbu!Akili za mashabiki wa Simba zinahitaji kuchekiwa. Hakika bila Yanga kuwepo mpira usingekua na ladha kabisa. Hebu angalia watu kutwa kuisema Yanga si asubuhi si mchana bila hivyo hawana cha kusema wengine watajigeuza ni mashabiki wa Yanga yan ili mradi waseme tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umekasahau ka Bigirimana, kale ni kazee kabisa
Hakuna mashabiki vigeugeu kama hawa jamaa. Nakumbuka hawahawa waliandamana kutaka Matola aondolewe kwenye benchi sasa ivi wote wameufyata. Nasubiri siku wajikwae kidogo utashangaa nyuzi zitakavyo anza kuongozana kama mabasi ya mkoani.Sijui ni kwa nini! Ila mpaka kesho huwa naamini Ismail Aden Rage aliwaza mbali sana kuwaita hawa jamaa mbumbumbu!
Yaani ukiwaza kwa kina, unaona kama kuna ukweli ndani usio na kipingamizi, yake. Na kama huamini, basi subiri timu yao itoe sare au kufungwa na timu yoyote ile!! Utashangaa watakavyo watukana wachezaji, makocha na CEO wao Barbara. Ila kwa sasa ni pongezi tu! Dakika 0, wamebadilika.