Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Al Hilal japo wameiondoa Yanga lakini naiona ni timu dhaifu sana, ni kwa sababu Yanga imejaza sana majina kuliko uwezo wa wachezaji wenyewe.
Wanadhani kuwa na majina makubwa ndiyo ukubwa wa timu.
Timu inacheza lakini mipango haionekani, huyo Morrison bure kabisa, bure kabisa, Fei Toto ameshindwa kabisa kuonyesha kuwa hapa Bongo anapoteza muda wake.
Sasa huko kwenye mtoano wa Shirikisho, ni afadhali ukutane na Al Hilal kuliko hao wanaume wa shirikisho, huko hakuna kabisa matumaini wajomba. Timu zilizofuzu hatua ya 2 Shirikisho ambazo zinasubiri losers wa Champions ni balaa.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app