Mtoano katika Kombe la Shirikisho ni mgumu kuliko Champions, Yanga wajipange

Lakini walishasema hawamtaki , ila kwa uzoefu wako ni lini mashabiki waliwahi kuwa na akili.mpirani ukikosea unasemwa ukipatia unasifiwa.
 
Luc Eymael ni genius hasa,alivyowaelezea kima wa Utopolo ndivyo walivyo haswa hadi FIFA kumzawadia m 354 zitakazolipwa na Utopolo.
 
Jana uliwaambia,Club Africain sio masihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…