NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Lakini walishasema hawamtaki , ila kwa uzoefu wako ni lini mashabiki waliwahi kuwa na akili.mpirani ukikosea unasemwa ukipatia unasifiwa.Hakuna mashabiki vigeugeu kama hawa jamaa. Nakumbuka hawahawa waliandamana kutaka Matola aondolewe kwenye benchi sasa ivi wote wameufyata. Nasubiri siku wajikwae kidogo utashangaa nyuzi zitakavyo anza kuongozana kama mabasi ya mkoani.
Sent using Jamii Forums mobile app