Mtoka Amerika aliyekamatwa intel yake iliuzwa na aliyeenda kumkaribisha

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
731
Reaction score
2,707
Bwana mdogo aliuzwa tokea akiwa kwa jirani na kushawishiwa arejee kwa balabala na siyo barabara

Wamtakao walimpa task mpokeaji amshawishi arejee na balabala na hilo lili-rahisishwa na mgomo wa warusha vitoweo pale kwa jirani

Msikaamini hako ka cheupe uchwara, ni kashirika ka hilo picha.
 
Hivi yupo hai au ameshakufa?
 
Ka-cheupe ni System at work kitambo sana.
 
Bwana mdogo aliuzwa tokea akiwa kwa jirani na kushawishiwa arejee kwa balabala na siyo barabara

Wamtakao walimpa task mpokeaji amshawishi arejee na balabala na hilo lili-rahisishwa na mgomo wa warusha vitoweo pale kwa jirani

Msikaamini hako ka cheupe uchwara, ni kashirika ka hilo picha.
Siyo uchonganishi huu?
 
Aya yote yana mwisho japo watanganyika ni wajinga sana ila ipo sku
Uokovu sio lazma utoke ndan unaweza toka ata njee
1000245749.jpg

Nimeitoa kwenye ukurasa wa Facebook wa Askofu Bagonza.
 
Bwana mdogo aliuzwa tokea akiwa kwa jirani na kushawishiwa arejee kwa balabala na siyo barabara

Wamtakao walimpa task mpokeaji amshawishi arejee na balabala na hilo lili-rahisishwa na mgomo wa warusha vitoweo pale kwa jirani

Msikaamini hako ka cheupe uchwara, ni kashirika ka hilo picha.
Sio kweli. Alikosa connection flight.. kule Kenya KQ wamegoma, ikabidi atumie Barbara ya namanga
 
Back
Top Bottom