Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 731
- 2,707
Bwana mdogo aliuzwa tokea akiwa kwa jirani na kushawishiwa arejee kwa balabala na siyo barabara
Wamtakao walimpa task mpokeaji amshawishi arejee na balabala na hilo lili-rahisishwa na mgomo wa warusha vitoweo pale kwa jirani
Msikaamini hako ka cheupe uchwara, ni kashirika ka hilo picha.
Ka-cheupe ni System at work kitambo sana.Bwana mdogo aliuzwa tokea akiwa kwa jirani na kushawishiwa arejee kwa balabala na siyo barabara
Wamtakao walimpa task mpokeaji amshawishi arejee na balabala na hilo lili-rahisishwa na mgomo wa warusha vitoweo pale kwa jirani
Msikaamini hako ka cheupe uchwara, ni kashirika ka hilo picha.
Siyo uchonganishi huu?Bwana mdogo aliuzwa tokea akiwa kwa jirani na kushawishiwa arejee kwa balabala na siyo barabara
Wamtakao walimpa task mpokeaji amshawishi arejee na balabala na hilo lili-rahisishwa na mgomo wa warusha vitoweo pale kwa jirani
Msikaamini hako ka cheupe uchwara, ni kashirika ka hilo picha.
....hana lolote!Ka-cheupe ni System at work kitambo sana.
....hana lolote!
Yule ni mjasiriamali wa kujipendekeza
Huyo cheupe ndiyo nani kwa jina lake la kupigia kura?Hiyo ni front cover lakini back cover ni mtu wa Mifumo
Hii nchi inachekesha sana. Yaani kila mtu ni wa mfumo.Hiyo ni front cover lakini back cover ni mtu wa Mifumo
Aya yote yana mwisho japo watanganyika ni wajinga sana ila ipo sku
Uokovu sio lazma utoke ndan unaweza toka ata njee
Hawakawii kumpa kesi ya kuuza vilainishi na njama za uhaini.Na kwa nini mtu kurudi kwao iwe ni habari ya kuuzwa na kununuliwa? Alikuwa na silaha za kivita?
Sio kweli. Alikosa connection flight.. kule Kenya KQ wamegoma, ikabidi atumie Barbara ya namangaBwana mdogo aliuzwa tokea akiwa kwa jirani na kushawishiwa arejee kwa balabala na siyo barabara
Wamtakao walimpa task mpokeaji amshawishi arejee na balabala na hilo lili-rahisishwa na mgomo wa warusha vitoweo pale kwa jirani
Msikaamini hako ka cheupe uchwara, ni kashirika ka hilo picha.
JK Dartukiweka mgomo wa kenya pembeni awali safari yake ilikua kutua kiwanja gani hapa nchini?
Wamemwachia baada kelele nyingiHivi yupo hai au ameshakufa?