Mtokeo ya form six kutangazwa leo

Status
Not open for further replies.

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kuna kila dalili Matokeoyaform six kutangazwa Leo

Nawatakia matokeo mema wote wenyemapenzi mema
 
kwani kutangazwa kwa matokeo huwa kuna dalili gani? Hebu tuelimishane jamani ili siku ingine we ukiwa haupo tukiona hyo dalili tujue matokeo ya form 6 yanatangazwa
 
kwani kutangazwa kwa matokeo huwa kuna dalili gani? Hebu tuelimishane jamani ili siku ingine we ukiwa haupo tukiona hyo dalili tujue matokeo ya form 6 yanatangazwa
mara nyingi matokeo ya mitihani hasa ya elimu za o level na A level hutolewa karibu na sikukuu fulani ili wazazi na watoto wao wapate nafasi nzuri ya kujipongeza. Je wajua pia matokeo ya mitihani ya vyuo vya elimu ya juu mara nyingi hutolewa siku ya IJUMAA! Sababu unaijua? Chunguza utabaini!
 
shule nyingi zisizokuwa na majina makubwa zaingia top 10 jiandaeni kwa hilo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…