Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mara nyingi matokeo ya mitihani hasa ya elimu za o level na A level hutolewa karibu na sikukuu fulani ili wazazi na watoto wao wapate nafasi nzuri ya kujipongeza. Je wajua pia matokeo ya mitihani ya vyuo vya elimu ya juu mara nyingi hutolewa siku ya IJUMAA! Sababu unaijua? Chunguza utabaini!kwani kutangazwa kwa matokeo huwa kuna dalili gani? Hebu tuelimishane jamani ili siku ingine we ukiwa haupo tukiona hyo dalili tujue matokeo ya form 6 yanatangazwa