Wilaya ya Temeke ndio wilaya ya vipaji Dar.
Ukiongelea wachezaji mpira ni TMK
Bongo fleva TMK
Mabondia TMK hususani keko familia ya Matumla na wengi tu.
Kabla Ndondo cup zamani ukitaka kuangalia vipaji basi nenda TMK kwenye mechi za makombe.
Ki ukweli jamaa wako vizuri kuna vipaji sana.