kepha_006
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 403
- 736
Wee hazimo aumalezi mama yupo kwenye vigodoro baba kijiweni reflection yake ndo hio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee hazimo aumalezi mama yupo kwenye vigodoro baba kijiweni reflection yake ndo hio
Nimesoma alichoandika lakini hicho nilichoandika sio kuoneana huruma bali ni Uwajibikaji. Aliitegemea Polisi tu? Kwa nini yeye binafsi hajasema alifanya nini (kujiongeza) hadi siku tatu zimepita na hatimaye ndo imekuwa hivyo?Tanzania si nchi ya kuoneana huruma Tena....usiongee kilaini hivyo Kama vile hujasoma alichoandika
Sawa mkuuNimesoma alichoandika lakini hicho nilichoandika sio kuoneana huruma bali ni Uwajibikaji. Aliitegemea Polisi tu? Kwa nini yeye binafsi hajasema alifanya nini (kujiongeza) hadi siku tatu zimepita na hatimaye ndo imekuwa hivyo?
Hatuongei kilaini-laini ila mzazi naye aseme yaliyojiri kwa upande wake.
Ndugu ni kweli unaweza kusema wazazi kuna uzembe wanafanya kwenye kufanya maauzi ya wapi watoto wao wacheze na waendeTusiombeane hayo bali tuone/tutafakari kwa kina kama hakuna mahali wazazi walizembea. Tusiende na kauli ya eti mtoto alikuwa anacheza nje...Nje wapi? (i.e.Umbali gani kutoka nyumbani alipokuwa anaishi) Matukio ya utekwaji wa watoto yameanza muda mrefu. Je, wazazi hawakujali kuona ipo haja ya kuchukua Tahadhari za makusudi juu ya Usalama wa mtoto wao 6yrs kipindi hiki cha vurumai?
Sheria ya Polisi ni kweli ina udhaifu mkubwa sana kwani anayetakiwa atafutwe baada ya 24hrs nadhani ni kwa mtu mzima na sio kwa mtoto mdogo(Sina uhakika). Lakini hata Polisi nao inafaa watumie akili za kujiongeza/ubinadamu. Kwani wakianza kutafuta kabla ya hizo 24hrs ni kosa?
Yule mtoto Albino, unafahamu kwamba mama yake alikabwa na kuporwa mtoto wake kinguvu?Tusiombeane hayo bali tuone/tutafakari kwa kina kama hakuna mahali wazazi walizembea. Tusiende na kauli ya eti mtoto alikuwa anacheza nje...Nje wapi? (i.e.Umbali gani kutoka nyumbani alipokuwa anaishi) Matukio ya utekwaji wa watoto yameanza muda mrefu. Je, wazazi hawakujali kuona ipo haja ya kuchukua Tahadhari za makusudi juu ya Usalama wa mtoto wao 6yrs kipindi hiki cha vurumai?
Sheria ya Polisi ni kweli ina udhaifu mkubwa sana kwani anayetakiwa atafutwe baada ya 24hrs nadhani ni kwa mtu mzima na sio kwa mtoto mdogo(Sina uhakika). Lakini hata Polisi nao inafaa watumie akili za kujiongeza/ubinadamu. Kwani wakianza kutafuta kabla ya hizo 24hrs ni kosa?
Zinaweza kuwepo sababu nyingi zikiwemo:-Haya mambo ya kupotea kufa na kutolewa viungo vya mwili mbona yanaongezeka sana kila siku?
Kwanini?
Hivi sio huu uchaguzi kweli?! Imani za kishenzy!!!Zinaweza kuwepo sababu nyingi zikiwemo:-
1. Husda baina ya familia -kwa chuki kubwa na ukatili wa kisasi, mtoto anadhulumiwa uhai wake kama adhabu mojawapo kwa hiyo familia halafu wahusika wanapoteza malengo kwa kunyofoa viungo ili ionekane ni Ushirikina kumbe sivyo.
2. Imani za kishirikina.
3. Ubakaji na Ulawiti - mtoto anakufa kwa kukosa hewa (suffocation) kutokana na kufumbwa pua na mdomo ili asipige kelele. Akifa, wahusika wanapoteza ushahidi ionekane vingine.
4. Madawa ya kulevya esp. bhangi.
Hilo la mtoto kunyakuliwa mikononi kwa mzazi, hiyo sifahamu. Lakini kwa Albino naamini mara nyingi huo ni Ushirikina wa kutafuta Utajiri. Hapo ujue Mganga wa kienyeji anahusika.Yule mtoto Albino, unafahamu kwamba mama yake alikabwa na kuporwa mtoto wake kinguvu?
Na chura alishasema hizo ni drama tu mnajifanyishaHutosikia mtoto wa waziri au kiongozi yoyte katekwa,hizo zinatokea Kwa sisi walala hoi mkuu.
Inawezekana; kwani hata kipindi cha uchaguzi uliopita haya mambo yalijitokeza sana.Hivi sio huu uchaguzi kweli?! Imani za kishenzy!!!
Hayo yote uliotaja yapo tunayafahamuZinaweza kuwepo sababu nyingi zikiwemo:-
1. Husda baina ya familia -kwa chuki kubwa na ukatili wa kisasi, mtoto anadhulumiwa uhai wake kama adhabu mojawapo kwa hiyo familia halafu wahusika wanapoteza malengo kwa kunyofoa viungo ili ionekane ni Ushirikina kumbe sivyo.
2. Imani za kishirikina.
3. Ubakaji na Ulawiti - mtoto anakufa kwa kukosa hewa (suffocation) kutokana na kufumbwa pua na mdomo ili asipige kelele. Akifa, wahusika wanapoteza ushahidi ionekane vingine.
4. Madawa ya kulevya esp. bhangi.
Hii imekaa mno kisiasa aisee kwani lililo mbele yetu ni Suala la kudhulumiwa Uhai mtoto mdogo 6 yrs. Anyway, sikupingi kwani huo ni mtazamo wako na ninauheshimu.Serikali ya CCM na policcm huwezi kuwaona kwenye matukio kama haya ila kwenye mikusanyiko ya Chadema hakuna Kiongozi wa polisi ambaye hatoonekana kwenye kuwathibiti.
Huelewa wako ni mdogo pole sana unachotakiwa kujua ni kwamba wanaotakiwa kuwajibika hapo ni polisi kwa kuwatafuta wauaji ila Cha kusikitisha ni kwamba uwezo huo hawana wao wanachoweza ni kukimbizana na wafuasi wa chadema tu, Kuna matukio tele ya watoto kutekwa na ya watu wengine kuteswa mpaka kufa ila serikali ya CCM inakuambia hizo habari zinakuzwa haziko ktk uhalisia sasa usichofahamu ni kipi hapo?Hii imekaa mno kisiasa aisee kwani lililo mbele yetu ni Suala la kudhulumiwa Uhai mtoto mdogo 6 yrs. Anyway, sikupingi kwani huo ni mtazamo wako na ninauheshimu.