Mtoto abakwa kwa nguvu, bibi yake ampigia magoti Makonda amsaidie kupata haki yake

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Inasikitisha mtoto abakwa na jirani, bibi yake ashindwa kesi Mahakamani, amlilia Rc Paul Makonda.

Kampeni zimeparibia au zishaanza watu wawe makini kwani yule Said aliyetobolewa macho na scopion yaliishia wap?
 
......alifungwa miaka 7....amemaliza ametoka yupo tu mtaani....yule alietobolewa macho alikuwa dalali kununua vitu vya wizi
 
Makonda ndio mahakama, ndio polisi, bwana ardhi, mbunge, waziri mkuu na mkuu wa mkoa.
Ukiona kila mtu anakwenda kwa Makonda ujue kwamba Kuna vyombo vya serikali mfano polisi, mahakama na idara ya ardhi, elimu na maji havifanyi kazi
 
Si USEME TU SERIKALI IMESHINDWA KUFANYA KAZI YAKE.
 
Back
Top Bottom