Nyendeke
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 1,552
- 2,849
Swala la Ulawiti kwa Watoto wadogo ni Changamoto sana hata kwenye nchi zilizoendelea., Kikubwa ni kuongezwa kwa hukumu kwa yeyote atakae kutwa na hatia dhidi ya Unyanyasaji huo wa Watoto. Aidha si busara kulihusisha swala hilo na dini mana hakuna dini yoyote inayoruhusu hilo zaidi ya Ubaradhuli na upotofu wa Maadili kwa baadhi ya Wanaume!