Mtoto aishi na mama yake mzazi kinyumba miaka 10

Mtoto aishi na mama yake mzazi kinyumba miaka 10

Hapa sijui nani alianza kumtokea mwenzie i mean kutongoza.
Kama lilianza jamaa nahisi lilianza kiutani utani "....maza dingi alikuwa anakufaidi..'' eti maza na mm nikichukua nafasi ya dingi kuna ubaya?" hapo lazima mama alicheka kidogo akamwambia subiri nae maza nae kuna siku kapiga chimpumu akawa na mihamu akaamua nae kuchombweza akala mzigo

Hapo hakuna aliyemtokea mwenzie. Ughimbi (pombe) ndiyo iliwatokea wote kwa pamoja, wakajikuta mambo tayari. Baada ya hapo wakaona hamna kurudi nyuma, maji yamemwagika............
 
sasa huyo jamaa angezaa na mama yake ambae ni mkewe huyo mtoto wake angemuita mdogo wake au ni mtoto wake na mama yake ambaye ni mke wake angemuita huyo mtoto ni mtoto wake au mjukuu wake? :biggrin1:

Mtoto wao!!
 
Nice you are back, Dena! Long time gone!

Hawa watani zangu wanaaibisha sana!!

Nipo majukumu tu mwaya yanakuwa mazito hapa mie nimepitwa na umri na hii makitu sina hata cha kusema maana naona kama wana laana au wanavuta bangi aaahhhhggggggrrrrrrrrrrrrr
 
Nipo majukumu tu mwaya yanakuwa mazito hapa mie nimepitwa na umri na hii makitu sina hata cha kusema maana naona kama wana laana au wanavuta bangi aaahhhhggggggrrrrrrrrrrrrr

Ughimbi pamoja na bangi!!
 
Nipo majukumu tu mwaya yanakuwa mazito hapa mie nimepitwa na umri na hii makitu sina hata cha kusema maana naona kama wana laana au wanavuta bangi aaahhhhggggggrrrrrrrrrrrrr

weka wazi kama upo maternity leave nikutumie pampers
 
weka wazi kama upo maternity leave nikutumie pampers

Ha ha ha ha hivi kumbe kuna mtu alinidanganya kuwa umenitumia kumbe alikuwa mwongo.................Nasubiri mpesa ndo hiyo 0754800800
 
Hapo hakuna aliyemtokea mwenzie. Ughimbi (pombe) ndiyo iliwatokea wote kwa pamoja, wakajikuta mambo tayari. Baada ya hapo wakaona hamna kurudi nyuma, maji yamemwagika............

hahahaha pombe mwana haramu i see, jamaa akamvue mama yake hivi hivi dah
 
Hivi Zimbabwe nako kuna wangoni?
sijui ndio maana nauliza.

Ndiyo, Zim kuna wangoni. Kama unaijua history ya wangoni wa TZ, utakumbuka kuwa ni wazawa wa Chaka the Zulu. Yaani walitokea Sauzi kwa kupitia Zim, Zambia, Malawi hadi TZ.

Kwa hiyo ile story ya Zim na hii ya Tz kuna uhusiano
sielewi unamaanisha nini hapa, je ni kawaida kwa wangoni kulala na mama zao, kuna relation kati ya hizo familia mbili (ya Zim na ya TZ) au ni random coincidence?
 
Mtumeeeee! mwenyezi mungu atustiri na laana kama hii....
 
sijui ndio maana nauliza.

sielewi unamaanisha nini hapa, je ni kawaida kwa wangoni kulala na mama zao, kuna relation kati ya hizo familia mbili (ya Zim na ya TZ) au ni random coincidence?

It is a coincidence that has happened in two different families that most likely belong to the same tribe!!
 
Jamani Wangoni watani zangu jitokezeni mtuambie la kutuambia kuhusu hii issue!! Mnasemaje??????
 
Alikuwa amelewa pombe kwa miaka 10?
Halafu mama anaonekana mzee mno sijui
how did they do it?

Mkuu Paw huyu bibi ana 70 kijana wake ana 40 tofauti ni miaka 30.
Hapo walikuwa wanakamua style zote za ngono, yawezekana walikuwa wanalewa bwii ndo wanafanya
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Laana hii inaingia kwa kasi Tanzania na Africa kwa ujumla tunatakiwa kufunga na kuomba maana hili ni janga kwa taifa si mama si baba ni aibu kwa taifa
 
Back
Top Bottom